Kipindi hicho sasa huu muda wa maongezi kupitia simu ilikuwa ni kwa kukwangua karatasi (hakuna kuunga bundle wala soft),sasa hizo karatasi tulikuwa tunaziita dollar,mfano ilikuwa inaanzia dollar 1,2, 5 ...sasa hawa wapenzi muda mwingi walikuwa wakitembelea sana Magomeni Morocco na maeneo mengine.
Hawa watu mmoja alikuwa akinunua dollar lazima amnunulie mwingine na lazima Jeff pia atanunuliwa dollar ili naye akaweke kwenye kimobitel chake na watsmpelekea popote alipo hata Getto watapeleka.
Muda woote walikuwa pamoja kwa umoja.
Ngoja wengine watakumalizia yaliyo baki binti.