Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Wala mimi sio mdogo hivyo, mtu mzima ila siwajui hao nahisi huo ni ubuyu wa wahenga zaidi maana nisingekosa kuujua kama ulikuwa hot hata kama ni enzi nakua.

Ungesema walau kidogo, mbona watu mnakuwa wachoyo jamani wakati mimi nawapa maubuyu for free?
 
Kuna dogo alipata mgao wa mirathi 30m+. Pesa aliyeyushia Dar na Dubai na maslayqueen wa Instagram wenye misambwanda. Kaishiwa na sasa kajificha kwa dada yake 🀣

Pesa+upwiru=0
Hatari sana Mkuu

Bora kuplay low

After all Ukienda Uzaramoni kule unajikamatia vigoli vyako Cheap na mambo wanajua kuliko hao Slay queens ambao ukiachana na kufuga Kucha ndefu hakuna Kitu wanaweza kwa bed.

Sio kutest mic one check ama Kumwaga Mauno ya Mkoleni, kote ni zero tu afu unakuta umetumia hela nyingi kumpata
 
Hivi unajua wewe ndio umenifumbua akili? Kumbe ni Nambua?
Jamani jamani!
Na hizi lingerie za Nacharo ni za kwake? Haki sijui mengi kumbe? Loh πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ

Huu ndio uzuri wa thread ya umbea, unatoa na kupokea umbea mpya.
Nacharo ni mwingine
Ndiyo huyo Nambua hv inaweza kuwa kweli zile mbegu za kaka mtu au ya walimwengu tu
 
Babu umechachukaaaa
 
Kuna kitu kinaitwa fantasy. Kila siku ushazoea kumuona slayqueen na tako lake akilipost Instagram, Facebook, YouTube, kwenye Tv. Unakuwa na matamanio ya hali ya juu, unakaa unawaza uko unapiga doggy huku tako KUBWA limepakwa wese,linatetemeka. Unakuwa nusu chizi, unatafuta pesa kwa nguvu ili kutimiza fantasy hizo. Pesa ukizipata sasa .......ndio mtu unamwaga hela kama atm mbovu isiyo na password 🀣. Mpaka hela iishe ndio akili inarudi 🀣
 
Khanifah, it seems you are good at everything you do, hongera sana.
 
Kipindi hicho sasa huu muda wa maongezi kupitia simu ilikuwa ni kwa kukwangua karatasi (hakuna kuunga bundle wala soft),sasa hizo karatasi tulikuwa tunaziita dollar,mfano ilikuwa inaanzia dollar 1,2, 5 ...sasa hawa wapenzi muda mwingi walikuwa wakitembelea sana Magomeni Morocco na maeneo mengine.

Hawa watu mmoja alikuwa akinunua dollar lazima amnunulie mwingine na lazima Jeff pia atanunuliwa dollar ili naye akaweke kwenye kimobitel chake na watsmpelekea popote alipo hata Getto watapeleka.

Muda woote walikuwa pamoja kwa umoja.
Ngoja wengine watakumalizia yaliyo baki binti.
 
Hahahaha...............kwa kweli Mkuu, ndiyo maana kuna msemo "Vunja Mifupa kama meno yapo"

Ila roho inauma unapoagiza mzigo alafu Ukute yaliyomo hayamo πŸ™Œ
 
Babu umechachukaaaa
Hahahaha.................Ningeambiwa niwape seminar Wanawake na Mabinti, ni kuwa Muda wanaoutumia Saluni bora wautumie kujifunza Kumridhisha Mwanaume.

Imagine unakutana na demu mkali alafu hata Kutuma salamu hajui, usipokuwa makini anaweza kuondoka na kilungu cha gia.

Akiwa kwa bed hata kiuno hajui kunyonga ila sasa unakuta ana sura kali, tako kama la Sanchoka alafu rangi ni ile kutoka Dubai.

Mwanaume unabaki Kujilaumu kutwa kucha πŸ™Œ
 
Kwa kweli Mkuu

Mara mia kuchukua Kuku wa Kienyeji, wengi huwa ni mafundi kuliko hao Slay queens
Hao maslayqueen ni umaarufu unawabeba. Wengine ni wazito zaidi ya Gogo yaani wazito kama karavati. Ila sikuhizi wamebuni mbinu mpya ya kuonesha kuwa wako flexible na wepesi ndio maana wanapost wapo gym. Ile kupost gym ni mbinu ya kuonesha wako flexible. Unganisha dots kwa nini slayqueen wengi siku hizi wanapost wapo gym?
Ile ni indirect marketing strategy 🀣🀣
 
Binafsi nimewavua vyeo otherwise waje waniprove wrong

Ningeweza kuandika mengi hapa but I reserve my comment.......kama kuna namna ya wao kupata ujumbe waambiwe waende wakapigwe Msasa hata hapo Bagamoyo ama hata Lindi tu.

Kuna Wazee wakipewa elfu 30 tu wanatoa darasa safi kabisa kwa hawa mabinti wenye kujua kutumia Instagram kuliko kujua kupangilia rangi za Shanga zao.

Sio muda wote kuweka makope na makucha marefu alafu kwa bed zero.
 
🀣
Unataka waongeze ubora wa huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…