Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!

Enzi za ujana nililala zangu lojoo. Mara nasikia zogo. Kumbe mfalme alishikiriwa kwenye korrido anataka kukimbia chumba chote kimetapakaa kinyesi sasa mzozo kashikiliwa bibie lizy anaambiwa ayafue mashuka balaa! Mfalme alivoona ataumbuka ndio akataka atimue mbio lakini hakumaliza korido wakawa washamnyaka.
 
Uongo huu sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aibu zote za nini jamani? 😭😭
Mungu awaokoe waachane na huo ushenzi.
 
Ni kamzozo,yaani Mwaikimba nje nje😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…