Lulu na Ali Kiba katika penzi la milele!



Kwa namna umeingia chaka kuhusu Majizo hata hizo unazoziita za ndani hatuwezi ziamini
 
Kama wanapendana kwa nini Kiba asingemchukua Lulu baada ya kifo cha Kanumba?

Hadi wewe kupata hii habari ina maana Majizo ana habari, hivi kuna mwanaume bwege aangalie mkewe anaenda kuliwa anafurahia? maana hadi huyo Majizo kuoa hapo na kuacha wengine alimpenda Lulu.

Huyo mme wake na Lulu , Majizo kusikia habari anasagwa na Salama anapokeaje?

Kiufupi habari ambazo hazina uthibitisho ni uzushi kama uzushi mwingine, haingii akilini, huwezi vumilia mkeo anaenda kuingiliwa kinyume na maumbile kama unavyosema halafu uwe unaruhusu nyimbo za huyo msanii anayefanya hivyo zipigwe kwenye media zako tv na radio. Lazima kuna bifu kali ya kutafutana kwa mtutu ihusike, mapenzi yalishawatoa watu duniani.

Hizo story za umbea ni wale wadada changudoa wa mjini walioshindikana wakikutana Saloon za nywele, wanaanza umbea na uongo wakijifanya wanawajua sana watu maarufu hasa wasanii na kudai wametembea nao. Wengine waliokwenda hapo kusuka wanaondoka na maneno yalivyo.

Kuna ukweli kiasi lakini 70% ni uongo mtupu, ni kukosa kazi za kufanya.

Uongo mtupu.
 
Povu lote hili kuna mahali nimesema ni kweli nilivyoandika? Huu ni umbea, kuamini au kutokuamini ni uamuzi wako mwenyewe wala hulazimishwi.
 
Povu lote hili kuna mahali nimesema ni kweli nilivyoandika? Huu ni umbea, kuamini au kutokuamini ni uamuzi wako mwenyewe wala hulazimishwi.
Ni upumbavu si umbea , umbea gani wa kuchafuana huu pasipo evidence, kuna umbea uki connect dots unaona kuna kitu, lakini huu ni upuuzi tu, uchawi.
 
Nifah Nifah Nifah, nimekuita mara 3, rudi kwenye mstari, unakengeuka.

the bold hajambo lkn? anakubaliana na haya?
 
Chai gani hii imetiwa chumvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…