Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 266
Hawajui kama wanaliangamiza taifa?hawa wote ni watuhumiwa lakini tayari mahakama ya ubongo wako imeshawabandika makosa kabla ya upelelezi haujakamilika na ushahidi kupatikana beyond reasonable doubt
ngumbaru bana
nafikiri, narudia, nasema nafikiri sio busara wala hekima kupandikiza hisia za kidini kwenye masuala ya kisheria.
Istoshe suala la imani ya dini ni suala mtambuka sana ambalo sio rahisi kulipima kama vile kupima furaha na raha......
sa mnashanga nini?
ni tanzaniza peke yake ambapo kesi inaangalia mwenye kesi!
cha ajabu nini kama teja moja linatibiwa na picha juu ikulu na wengine wanaachwa wafe tu kwa kuachia madawa yatamalaki
hakuna cha ajabu hapa!
ndo yale yale!
ni tanzaniza peke yake ambapo kesi inaangalia mwenye kesi!
cha ajabu nini kama teja moja linatibiwa na picha juu ikulu na wengine wanaachwa wafe tu kwa kuachia madawa yatamalaki
jamani no one is guilty untill proven by law hw come una conclude lulu ni muuaji??? hebu fanya research kwanza ujue wat amount to murded and also wat amount to manslaughter... na siku zote in criminal case burden of proof iko upande wa mshtaki in this case DPP wat if kapitia ushahidi kaona ilivyokuwa mwanzo angepoteza mapema?? na effect ya kushindwa case wajua cost ambazo mshindwa anatakiwa kuzibeba???.....
Kokoto vs Mauji?Nisaidie mwalimu wangu. Afu eti kuna jitu linahusisha hii makitu na udini. Sijui amejuaje dini ya Lulu (litasema jina najua tu) Lingehusisha na maswala ya ngono ningeweza kuamini kwa mbaaaali.
Hivi babu Seya alipewa dhamana? Ditopile aliua na alipewa dhamana, nadhani alikuwa padre yule.
mdau unaposema LULU ni muuaji unakosea ndo maana hata Ponda hajaitwa MWIZI
hii kitu haina mahusiano na dini wala niniNisaidie mwalimu wangu. Afu eti kuna jitu linahusisha hii makitu na udini. Sijui amejuaje dini ya Lulu (litasema jina najua tu) Lingehusisha na maswala ya ngono ningeweza kuamini kwa mbaaaali.
Hivi babu Seya alipewa dhamana? Ditopile aliua na alipewa dhamana, nadhani alikuwa padre yule..........
hii kitu haina mahusiano na dini wala nini
ya babu seya ni masusiano ya ngono,narudia tena MASUSIANO.....
ya ditopile ni masemeheano ya ubest man,narudia tena MASEMEHEANO ......
ya zomba ni marejesheano ya ujambazi,narudia tena MAREJESHEANO.......
ya mahalu ni malipiaziano ya zarau tu za hapa na pale,narudia tena MALIPIZIANO......
ya kombe ni matishano ya upinzani,narudia tena MATISHANO
ya mramba ni maridhishano kwa wanachi kuwa tunajali teh teh Asprin muache tu mwalimu wako asiwe anaingia humu ,muachage tu kule kule darasani kwake kama wampenda na unapendezwa na uwepo wake humu bila kupewa mBANano!lol
twenzetu mwanafunzi wangu!........
Hakuna mantiki yoyote,umekurupuka sana,umeshindwa hata kujenga hoja yenye mashiko.
Hivi mtu kubadilishiwa mashtaka inahusika vp na mtu mwingine kunyimwa dhamana?.....
Kokoto vs Mauji?.........
Sijui kama alikuwa DPP ndio huyu huyu. Kesi Dito vs Kesi ya LuluDitopile alishtakiwa kwa mauaji. Tena alimcharaza konda risasi hadharani lakini alipewa dhamana.
Haya nambie hapo mauaji Vs Kokoto afu uniunganishie na udini kama kweli we ni great sinker...
ok. lkn naona chembe ya udini