hii kitu haina mahusiano na dini wala nini
ya babu seya ni masusiano ya ngono,narudia tena MASUSIANO.....
ya ditopile ni masemeheano ya ubest man,narudia tena MASEMEHEANO ......
ya zomba ni marejesheano ya ujambazi,narudia tena MAREJESHEANO.......
ya mahalu ni malipiaziano ya zarau tu za hapa na pale,narudia tena MALIPIZIANO......
ya kombe ni matishano ya upinzani,narudia tena MATISHANO
ya mramba ni maridhishano kwa wanachi kuwa tunajali teh teh
Asprin muache tu mwalimu wako asiwe anaingia humu ,muachage tu kule kule darasani kwake kama wampenda na unapendezwa na uwepo wake humu bila kupewa mBANano!lol
twenzetu mwanafunzi wangu!........