Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

Lulu sasa abadilishiwa mashtaka

Usifananishe kesi ya Lulu na Ponda. Mwacheni mtoto wa watu arudi mtaani, ameshapata somo la kutosha. Yaani bila aibu unasema ameua kwa kukusudia? Ina maana alitoka kwao akasema leo ST lazima afe? Tumeyasikia mazingira ya tukio la kifo cha Kanumba, kwa utashi wa kawaida tu, utagundua kilichotokea ni kitendo cha bahati mbaya.

Kuhusu Ponda, naona watu mnataka kujisahaulisha makusudi. Huyu jamaa, alitaka kuchangia katika kufanya watu wakose amani katika nchi yao. Umesahau aliipa serikali wiki moja iwaachie watu wanaotuhumiwa kuchoma na kuiba vitu makanisani kwa kutumia nguvu na silaha (hata kama sio majambazi, walifanya kitendo cha ujambazi). Hii inamaanisha nini?

Sitaki kusema Ponda asipewe dhamana au apewe, ninachowakilisha hapa ni kwamba kesi ya mtoto Lulu na Ponda ni vitu viwili vyenye utafauti wa hali ya juu.
 
Asprin enh twenzetu bana!
ah humu kuna watu kuna siku hata wakienda benki saa kumi na nusu watasema hawajafunguliwa kwa sababu ya udini!
tusepe bana!
 
Last edited by a moderator:
ah hilo ndo tatizo lako!hilo tuu!
kwanini hutoki kwenye boksi wewe?
unahama kwenye hoja ya msingi unaleta habari za udini
hapa udini unaingiaje?
nakuuliza wewe Babamamakakadada!
Sheikh PONDA alisema hakubaliani na mfumo wa NECTA unawabeba wakiristo. DPP akasema utaniona kama unasema hivyo.na sasa anamuona kweli
 
Don-Oba,

Upo NAÏVE sana na inawezekana hata sheria moja ya nchi hii hujui.

Lipo shitaka la kuua bila kusudia. Manslaughter.

Ukimshtaki mtu mahakamani kwa kosa la kuua kwa kusudia, Murder, ikagundulika aliua bila kukusudia, manslaughter ina maana anaachiwa huru.

Mahakama haiwezi kutunga shitaka.
Kama DPP hana ushahidi hawezi kukushtaki.

Mfano, umeshitakiwa kwa kosa la kuiba. Ushaidi ukaonyesha kua haukuiba bali ULIPIGA, ingawa kupiga mtu ni kosa, mahakama haiwezi kukuhukumu kwa kosa ambalo haukushtakiwa nalo. Hivyo inakuacha huru.

Ndio hilo alilofanya DPP.

Wabongo muwe mnasoma na msiwe wavivu wa kufikiri na mbilikimo wa mawazo.

Je umewahi kujiuliza kwanini marehemu alikua anatembea na mtoto chini ya miaka 18?. Marehemu alikua akimbaka. Ndio maana yake.

safi sana, well said.
 
Wewe si ndio uwe uko humu kila siku kutetea kwamba serikali ya CCM inafuata UTAWALA WA SHERIA. Leo imekuwaje? kisu kimefika mfupa.

BTW, hata kulingana na muundo ulivyo ofisi ya DPP haiwezi kuwa independent kamwe, hata kama angeteuliwa malaika kutoka mbinguni kuingoza, angeingiliwa na mamlaka iliyomteua. Wenzetu Kenya wamepiga hatua kwa mambo kama haya. Sijui kwanini sisi wabongo hatuwezi kujifunza mazuri ya Kenya. Ila yale mabaya ndiyo tunaweza kujifunza kwa haraka kama vile Jaji Lewis Makame wa NEC alivyochakachua kura za URAIS kama Kivuitu wa wa Kenya!!!.
 
Sheikh PONDA alisema hakubaliani na mfumo wa NECTA unawabeba wakiristo. DPP akasema utaniona kama unasema hivyo.na sasa anamuona kweli

ish!
mweh!
af unataka tuseme tuko sawa kifikra ,aahhaaahhahahhah BADO SANA I SEE!
 
usifananishe kesi ya lulu na ponda. Mwacheni mtoto wa watu arudi mtaani, ameshapata somo la kutosha. Yaani bila aibu unasema ameua kwa kukusudia? Ina maana alitoka kwao akasema leo st lazima afe? Tumeyasikia mazingira ya tukio la kifo cha kanumba, kwa utashi wa kawaida tu, utagundua kilichotokea ni kitendo cha bahati mbaya.

kuhusu ponda, naona watu mnataka kujisahaulisha makusudi. Huyu jamaa, alitaka kuchangia katika kufanya watu wakose amani katika nchi yao. Umesahau aliipa serikali wiki moja iwaachie watu wanaotuhumiwa kuchoma na kuiba vitu makanisani kwa kutumia nguvu na silaha (hata kama sio majambazi, walifanya kitendo cha ujambazi). Hii inamaanisha nini?

Sitaki kusema ponda asipewe dhamana au apewe, ninachowakilisha hapa ni kwamba kesi ya mtoto lulu na ponda ni vitu viwili vyenye utafauti wa hali ya juu.

hiyo ndio propaganda yenu. Hatujaona mashtaka hayo. Tunaona kashtakiwa kwa kuiba kokoto na saruji. Hayo mengine mimi huyasikia zaidi kwenye mitandao
 
Hakuna mantiki yoyote,umekurupuka sana,umeshindwa hata kujenga hoja yenye mashiko.
Hivi mtu kubadilishiwa mashtaka inahusika vp na mtu mwingine kunyimwa dhamana?.......

Lulu kabadilishiwa mashitaka,sasa anaweza kupata dhamana,na lazima atashinda kesi hii,upelelezi umekamilika haijaisha hata mwaka,wangapi wanasota jela mpaka leo tena kwa kesi za kubambikiwa?.Sheikh Ponda amefungiwa dhamana,Mahakama za Tanzania ni kijiwe cha kupora haki za wengine
 
hiyo ndio propaganda yenu. Hatujaona mashtaka hayo. Tunaona kashtakiwa kwa kuiba kokoto na saruji. Hayo mengine mimi huyasikia zaidi kwenye mitandao.......

Ndugu yangu, mimi sina propaganda yeyote, nimeelezea kilichotokea kipindi kile tu. Kwamba ameshtakiwa kwa lipi hainuhusu. Ina maana na wewe ulimuunga mkono kwa kitendo chake cha kuipa serikali wiki moja iwaachie watu waliofanya kitendo cha ujambazi?
 
AS PER PENAL CODE CAP 16
195. Any person who by an unlawful act or omission causes the death
of another person is guilty of the felony termed "manslaughter"

Anunlawful omission is an omission amounting to culpable negligence to
discharge a duty tending to the preservation of life or health, whether
such omission is or is not accompanied by an intention to cause death
or bodily harm.

196. 'Any person who of malice aforethought causes the death of
another person by an unlawful act or omission is guilty of murder.

Sasa was there a malice aforethught kwa lulu??? tafuta scnario yoote ilopelekea kifo cha kanumba utaelewa kwanini DPP kajishtukia mapema
 
Usifananishe kesi ya Lulu na Ponda. Mwacheni mtoto wa watu arudi mtaani, ameshapata somo la kutosha. Yaani bila aibu unasema ameua kwa kukusudia? Ina maana alitoka kwao akasema leo ST lazima afe? Tumeyasikia mazingira ya tukio la kifo cha Kanumba, kwa utashi wa kawaida tu, utagundua kilichotokea ni kitendo cha bahati mbaya.

Kuhusu Ponda, naona watu mnataka kujisahaulisha makusudi. Huyu jamaa, alitaka kuchangia katika kufanya watu wakose amani katika nchi yao. Umesahau aliipa serikali wiki moja iwaachie watu wanaotuhumiwa kuchoma na kuiba vitu makanisani kwa kutumia nguvu na silaha (hata kama sio majambazi, walifanya kitendo cha ujambazi). Hii inamaanisha nini?

Sitaki kusema Ponda asipewe dhamana au apewe, ninachowakilisha hapa ni kwamba kesi ya mtoto Lulu na Ponda ni vitu viwili vyenye utafauti wa hali ya juu.

Mtoto anavunja amri ya sita?
 
Ndugu yangu, mimi sina propaganda yeyote, nimeelezea kilichotokea kipindi kile tu. Kwamba ameshtakiwa kwa lipi hainuhusu. Ina maana na wewe ulimuunga mkono kwa kitendo chake cha kuipa serikali wiki moja iwaachie watu waliofanya kitendo cha ujambazi?
Hiyo propaganada zenu. mbona hakuna mashtaka hayo. kuna wizi wa kokoto? Propaganda kwenye mitandao hazifai kuzibeba kichwani
 
Kuunganisha Kesi ya Lulu na ya Ponda ni kichekesho cha mwisho wa mwaka. Mbaya zaidi ni kuingiza mambo ya Udini kwenye hizi kesi.

Mbona alichofanyiwa Lulu hakina tofauti sana na alichofanyiwa marehemu Ditopile? Je kama watu wangesema kuwa bwana Zombe aliachiwa kwa kuwa waliouwawa walikuwa ni Wakristo ingeingia akilini kwako?
Mimi sio mwanasheria, ila kuna jambo moja la msingi ninaloliona: Kuna tatizo kubwa kwenye mfumo wetu wa sheria. Tatizo hilo halitokani na Udini bali linachangiwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu wa uadilifu.
 
Hii nchi inaendeshwa kiusanii na mkubwa wa usanii yuko pale magogoni, tutegemee nini?
 
Asprin enh twenzetu bana!
ah humu kuna watu kuna siku hata wakienda benki saa kumi na nusu watasema hawajafunguliwa kwa sababu ya udini!
tusepe bana!

Twenzetu mwalimu wangu. Huku hakutufai hata kidogo.

Twende ukanambie kwanini ulinitoroka kabla sijakupa haki yako? Ah mwalimu Mashallah wewe...... Acha tu.
 
Last edited by a moderator:
Kuunganisha Kesi ya Lulu na ya Ponda ni kichekesho cha mwisho wa mwaka. Mbaya zaidi ni kuingiza mambo ya Udini kwenye hizi kesi.

Mbona alichofanyiwa Lulu hakina tofauti sana na alichofanyiwa marehemu Ditopile? Je kama watu wangesema kuwa bwana Zombe aliachiwa kwa kuwa waliouwawa walikuwa ni Wakristo ingeingia akilini kwako?
Mimi sio mwanasheria, ila kuna jambo moja la msingi ninaloliona: Kuna tatizo kubwa kwenye mfumo wetu wa sheria. Tatizo hilo halitokani na Udini bali linachangiwa kwa kiasi kikubwa na ukosefu wa uadilifu.

hapa tunasema sheikh Ponda KUTENGENEZEWA KIBALI NA DPP ILI KUMKOMOA KWA KUWA NI SHEIKH LEO HUYO HUYO ANABADILISHA KESI YA MAUJI ILI YAWE SIO MAUJI
 
Mtoto anavunja amri ya sita?
Nadhani hata hiyo amri ya sita huifahamu, maana ni 'usizini' (sasa labda maana ya kuzini ni ngumu kwako). Sina maana kwamba kufanya ngono kabla ya kuoa ni halali, ila Lulu hakuzini, kama alikuwa anafanya ngozo (maana sina uhakika kwenye hili, sijawahi kuwachungulia) basi amefanya uasherati.

Ni mtoto kwa ajili ya umri wake.
 
Back
Top Bottom