The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Wadadisi au wapika sumu?Kwani.....
Wakihojiwa ama wasipo hojiwa, hicho chama kitapoteza ama kupungukiwa wapi??
Na hii kulazimisha mahojiano na wazee hawa, kwetu sisi wadadisi tunaona kabisa kama chama bado kinawahitaji sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoka!Sema kweli mzee,...bado upo hapo lumumba?
Kinana yupo nyumbani kwake na hajatoa mguu kwenda kokote! Huyo mleta hoja muongo! Wamepewa assignment na polepole kupitisha kwenye mitandao ili kujifichia aibu ccm! Ndio maana polepole kakasirika na kuanza kufukua makaburi ya ufisadi wa container 700! Mbona mnashindwa kujiongeza kiintelejinsia na kuujua ukweli wa saga hili?Yaani CCM hawapendi kushindwa.... Watakuwa wamewatisha Wazee wa watu mpaka wakakubali kutokea ili kuondoa sibu. Logically huwezi kumuita kwenye kamati mtu ambaye siyo mwanachama wako.
Wazee wapi hao au sumaye!hamna kitu wazee wamegoma hao
Nyie si mlisema wamegoma....Wazee wapi hao au sumaye!
Hata Mzee marope naona kapiga kanzu na baragashia., ni dhahiri wamechoshwa.Duh! Ilo shati la Mangula kiboko
Naona kinana hakuvaa shati la mboga mboga
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unaona hata mavazi aliyovaa leo sio ya kichama kabisaKinana ni untouchable... Na ana misimamo
Jr[emoji769]
Kama unakikubali hicho chama, ina maana unakubali na katiba yake. Bahati mbaya hili si lako,ni lao ndio maana wameenda.Hata ningekuwa mimi nisingekubali kuhojiwa. Ningewapotezea mbali!
Nimeshangaa kwa mara ya kwanza nimeona kinana kwenye kikao cha mchama hajavaa kijaniAshukuriwe Mkapa kwa jitihada kubwa
Jr[emoji769]