Ule upepo wa Ruangwa ulifanya yake lakini amepona baada ya watalamu wake kuwahiTena amewafuata mwenyewe.
Kabisa lkn mpaka sasa kimya hakuna anayesema lolote.kwa mujibu wa ratiba ilitakiwa by now mazishi yawe tayari yashakamilika na probably watu washarejea Dar tayari.
sitaki lawamakwanini CIA
Afadhali alooEeeeh ndio anafika sasa hiv
Mhe Raisi ameingia sasa, kakaa pembeni ya mjaneMagufuli aendagi kwenye mazishi full stop.
Alishakatazwa na Mganga wake,.
Nashangaa mnaulizauliza.