Mkuu kama huamini kuwa Chadema ilishinda 2015 basi jua una akili sawa na JiweSasa Kama hali ya 2015 imejirudia, mbona hamkushinda hy 2015.?
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama huamini kuwa Chadema ilishinda 2015 basi jua una akili sawa na JiweSasa Kama hali ya 2015 imejirudia, mbona hamkushinda hy 2015.?
Ila ikiwekwa takwimu za mdogo wangu Eyakuze mnanyanganya watu pass za kusafiria!!Jiandae kuumia. Hutaki kufa kabisaView attachment 1586505
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana uliona Mbeya dada kipepe? Pia angalia watu wa Mungu wanamuombea kwa furaha kubwa.
View attachment 1586577
Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.
View attachment 1586446
Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.
View attachment 1586446
roho ya kukataliwa itawabemenda sana CCM.Laana inawatafuna CCM
Bila kufafanua vema kubainisha ni Mbunge wa Jimbo lipi na wapi, huu NAO ni ujinga mwingine wa mleta mada, tutajuaje, je ikiwa ni ndio zile video za 2015 tutajuaje Sisi?
The book of ccm is in the last page
~THE END~
Huyo huyo Pombe ametuweka lockdown kwa miaka mitano na bado tupo, tume-survive ...safari hii atafungasha tu atake asitake! Watu pekee walionufaika ni wale wale; watoto wa dada, watoto wa shangazi, watoto wa kufikia na watoto waliozaliwa kwenye mikesha ya mwenge!Ebu tuambiane nyie mnataka Rais ambaye alikuwa anaiabudu Lock down, aliyekuwa anawaabudu wanaotukejeli bila kuwa na lockdown, aliyekuwa ametumwa kuiponda nchi yetu kuwa hawachukui hatua za Covid-19, mnataka anayefanya maigizo kuwa watu wavae barakoa wakati mwenyewe wakati yeye mwenyewe hajavaa, anayetaka lockdown wakati yeye Mwenyewe hayupo lockdown, anayeabudu misaada ya lockdown wakati akiona wenzetu Wakenya wanavyopata taaabu saaaaana. Hivi hata Mikutano mnayoifanya hamwelewi yote ni jitihada za JPM.
Leta ushahidiMkuu kama huamini kuwa Chadema haikushinda 2015 basi jua una akili sawa na Jiwe
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Muuaji tu huyoTumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Kituo cha kujumuisha matokeo cha UKAWA kilivamiwa na kuporwa matokeo yao.Leta ushahidi
Sasa kama tuu sehemu alipozaliwa lowassa alimzidi magufuli kwa kura 3k ww unategemea atapata nn huko wasikomjua.?Kituo cha kujumuisha matokeo cha UKAWA kilivamiwa na kuporwa matokeo yao.
Kituo cha waangalizi waliokuwa wana tally matokeo ya vituo vyote pale THRDC walivamiwa pia wakaporwa matokeo yote?
Mfanano wa matokeo wa kura za urais maeneo ya shinyanga na tabora
Kura za urais kuzidi kura za ubunge rejea Tunduma na Bumbuli.
Anyway katiba/sheria zetu haitoi provision ya kupinga matokeo ya Urais mahakamani so hakuna pa kuprove ila ukweli huu hata Magufuli anaujua kuwa hakufikisha 40%
Who are the trends dynamicsJiandae kuumia. Hutaki kufa kabisaView attachment 1586505
Nani aliyekwambia ndio kura halisi za Lowassa hizo? Hata polepole akiona comment yako hii anawadharau mlivyo kuwa brainwashed.Sasa kama tuu sehemu alipozaliwa lowassa alimzidi magufuli kwa kura 3k ww unategemea atapata nn huko wasikomjua.?
Kma mngetaka ukweli mngeweka kifungu cha kupinga matokeo kortini na pia mngeacha THRDC na UKAWA wajumuishe matokeo yao ya vituoni alafu mngekuja kuyaweka hadharani jinsi chadema walivyoanguka. Kuyachukua na kuyakatalia hadi leo yanaprove mlianguka.
Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
[/QUOTE
Tatizo la kufikiri Kwa kutumia kule mwishoni mwa utumbo Mpana