Uchaguzi 2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

Uchaguzi 2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

Rais atakayeshusha makato ya bodi ya mikopo hadi 7% kutoka 15% kwa mwezi na kuongeza na watumishi kupandishwa mishahara kwa 20% kila mwaka.
Ebu tuambiane nyie mnataka Rais ambaye alikuwa anaiabudu Lock down, aliyekuwa anawaabudu wanaotukejeli bila kuwa na lockdown, aliyekuwa ametumwa kuiponda nchi yetu kuwa hawachukui hatua za Covid-19, mnataka anayefanya maigizo kuwa watu wavae barakoa wakati mwenyewe wakati yeye mwenyewe hajavaa, anayetaka lockdown wakati yeye Mwenyewe hayupo lockdown, anayeabudu misaada ya lockdown wakati akiona wenzetu Wakenya wanavyopata taaabu saaaaana. Hivi hata Mikutano mnayoifanya hamwelewi yote ni jitihada za JPM.
 
Okay
Ww uliyehesabu kura, lowassa alipata kura ngapi.?
Wanajua waliopora PC/Drives za THRDC na za UKAWA!!

Kuna vitu vipo wazi alafu unaleta ubishi usio na tija more so una Verified account.

Kma walishinda unapora matokeo ya wenzio ya nni? Can't u reason
 
Wanajua waliopora PC/Drives za THRDC na za UKAWA!!

Kuna vitu vipo wazi alafu unaleta ubishi usio na tija more so una Verified account.

Kma walishinda unapora matokeo ya wenzio ya nni? Can't u reason
Sawa kalale sasa mana naona unamumunya maneno tuu
 
Hali ya chama cha Manyang'au ni mbaya mno. Wanapingwa kila kona ya nchi.
 
Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.

======

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shabani Shekilindi "Boznia", juzi alilazimika kukatisha mkutano wake wa kampeni katika Kijiji cha Makanya, Kata ya Makanya tarafa ya Mlola baada ya wananchi Kukataa asifanye mkutano.

Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Katibu Wa CCM wilaya ya Lushoto, Ramadhani Mahanyu, zinasema tukio hilo limetokea Jumanne wiki hii katika kijiji cha Makanya wilayani humo.

"Nikweli hilo tukio, limetokea na tumekaa kujadili tumeona ni wahuni waliopangwa na baadhi ya wapinzani wetu, lakini hali ilikuwa nzuri baadaye tulifanya mkutano na wananchi wanetuelewa, " alisema.

Boznia ni Mbunge ambaye alichaguliwa mwaka 2015 na kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni aliwashinda watu mbalimbali akiwemo mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Shekifu na Profesa Vincent Kihiyo.

View attachment 1586446
Sikipendi CCM lakini sipendi zaidi hizi siasa chafu za kuandaa wahuni kuzomea wagombea. Mgombea huzomewa na kura! kwanini wasimwache mgombeas anadi sera zake then wamsubiri kwenye sanduku la kura?
 
Sawa kalale sasa mana naona unamumunya maneno tuu
Screenshot_2020-10-02-00-01-54-1.png

Sikujua nabishana na kil.aza kma ww. Yaani verified user unaandika upuuzi kma huu.

Nmekudharau sana
 
View attachment 1587516
Sikujua nabishana na kil.aza kma ww. Yaani verified user unaandika upuuzi kma huu.

Nmekudharau sana
😂😂😂 Jamaa umenfurahiaha sana, afu Asante kwa kunifatilia, mwisho wa siku kila mtu anajua maisha yake so haina haja ya kuumizana kichwa

Kingine, JF n sehemu yangu ya kujitolea mawazo sasa ww endlea kuwa serious na mm kama vile ww n mwenyekiti wa familia yangu
 
kumbe haupo serious ? basi jumbe zako tunazidharau pia na ww tuna kudharau
 
View attachment 1587516
Sikujua nabishana na kil.aza kma ww. Yaani verified user unaandika upuuzi kma huu.

Nmekudharau sana
😂😂😂 Jamaa umenfurahiaha sana, afu Asante kwa kunifatilia, mwisho wa siku kila mtu anajua maisha yake so haina haja ya kuumizana kichwa
😂😂😂 Jamaa umenfurahiaha sana, afu Asante kwa kunifatilia, mwisho wa siku kila mtu anajua maisha yake so haina haja ya kuumizana kichwa
kumbe haupo serious ? basi jumbe zako tunazidharau pia na ww tuna kudharau
Sawa boss
 
Back
Top Bottom