Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Duh wapi hiyo?
Hiyo ni Ushoto kwa Washambaa....!!
Jamaa hawataki ujinga bhana! Saafi sana na Hongeya sana Waghoshi wa Kaya✌✌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh wapi hiyo?
OkayNani aliyekwambia ndio kura halisi za Lowassa hizo? Hata polepole akiona comment yako hii anawadharau mlivyo kuwa brainwashed.
Ebu tuambiane nyie mnataka Rais ambaye alikuwa anaiabudu Lock down, aliyekuwa anawaabudu wanaotukejeli bila kuwa na lockdown, aliyekuwa ametumwa kuiponda nchi yetu kuwa hawachukui hatua za Covid-19, mnataka anayefanya maigizo kuwa watu wavae barakoa wakati mwenyewe wakati yeye mwenyewe hajavaa, anayetaka lockdown wakati yeye Mwenyewe hayupo lockdown, anayeabudu misaada ya lockdown wakati akiona wenzetu Wakenya wanavyopata taaabu saaaaana. Hivi hata Mikutano mnayoifanya hamwelewi yote ni jitihada za JPM.
Wanajua waliopora PC/Drives za THRDC na za UKAWA!!Okay
Ww uliyehesabu kura, lowassa alipata kura ngapi.?
Sawa kalale sasa mana naona unamumunya maneno tuuWanajua waliopora PC/Drives za THRDC na za UKAWA!!
Kuna vitu vipo wazi alafu unaleta ubishi usio na tija more so una Verified account.
Kma walishinda unapora matokeo ya wenzio ya nni? Can't u reason
MhhhWatu wameelimika huwezi kuwachagulia kiongozi kisa wewe ni mtawala
Sikipendi CCM lakini sipendi zaidi hizi siasa chafu za kuandaa wahuni kuzomea wagombea. Mgombea huzomewa na kura! kwanini wasimwache mgombeas anadi sera zake then wamsubiri kwenye sanduku la kura?Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.
======
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shabani Shekilindi "Boznia", juzi alilazimika kukatisha mkutano wake wa kampeni katika Kijiji cha Makanya, Kata ya Makanya tarafa ya Mlola baada ya wananchi Kukataa asifanye mkutano.
Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Katibu Wa CCM wilaya ya Lushoto, Ramadhani Mahanyu, zinasema tukio hilo limetokea Jumanne wiki hii katika kijiji cha Makanya wilayani humo.
"Nikweli hilo tukio, limetokea na tumekaa kujadili tumeona ni wahuni waliopangwa na baadhi ya wapinzani wetu, lakini hali ilikuwa nzuri baadaye tulifanya mkutano na wananchi wanetuelewa, " alisema.
Boznia ni Mbunge ambaye alichaguliwa mwaka 2015 na kwenye kinyang'anyiro cha kura za maoni aliwashinda watu mbalimbali akiwemo mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tanga Henry Shekifu na Profesa Vincent Kihiyo.
View attachment 1586446
Sawa kalale sasa mana naona unamumunya maneno tuu
😂😂😂 Jamaa umenfurahiaha sana, afu Asante kwa kunifatilia, mwisho wa siku kila mtu anajua maisha yake so haina haja ya kuumizana kichwaView attachment 1587516
Sikujua nabishana na kil.aza kma ww. Yaani verified user unaandika upuuzi kma huu.
Nmekudharau sana
may the last page but not the end of story .The book of ccm is in the last page
~THE END~
kumbe haupo serious ? basi jumbe zako tunazidharau pia na ww tuna kudharau😂😂😂 Jamaa umenfurahiaha sana, afu Asante kwa kunifatilia, mwisho wa siku kila mtu anajua maisha yake so haina haja ya kuumizana kichwa
Kingine, JF n sehemu yangu ya kujitolea mawazo sasa ww endlea kuwa serious na mm kama vile ww n mwenyekiti wa familia yangu
😂😂😂 Jamaa umenfurahiaha sana, afu Asante kwa kunifatilia, mwisho wa siku kila mtu anajua maisha yake so haina haja ya kuumizana kichwaView attachment 1587516
Sikujua nabishana na kil.aza kma ww. Yaani verified user unaandika upuuzi kma huu.
Nmekudharau sana
😂😂😂 Jamaa umenfurahiaha sana, afu Asante kwa kunifatilia, mwisho wa siku kila mtu anajua maisha yake so haina haja ya kuumizana kichwa
Sawa bosskumbe haupo serious ? basi jumbe zako tunazidharau pia na ww tuna kudharau
Hehehe HatersTumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Mtawatambuwa kwa matendo yao.Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Watu walioelimika hawafanyi hivyo!Watu wameelimika huwezi kuwachagulia kiongozi kisa wewe ni mtawala
Hawajawahi kuwa mchamunguTumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL