Lusinde amvaa Amunike kweupe

Lusinde hajawahi kuwa na akili.....
 
Tatizo tuliweka sana matumaini ya Taifa Stars kwenda AFCON kwa kushinda ugenini, kama tulishindwa kukusanya point za kutosha kwenye mechi tulizocheza nyumbani ingekuwa miujiza kuwafunga Lesotho kwao hata kama walikuwa wabovu, hasa kwa timu yetu hii iliyocheza jana.
 
taifa stars siyo ccm unajuwa kuwa kwenye ushindani utashinda
 
Sasa alitaka apange wachezaji kama anavyotaka nani?

Wanasiasa bwana.
 
Kwa mara ya kwanza Lusinde katoa point!! Hongera Mh. Mbunge kuwa mkweli walau kwenye hili.
Amesema anapanga wachezaji kama anavyotaka yeye, huyo lusinde alitaka kocha apange wachezaji kama anavyotaka nani?

Msiwe mnashakia ujinga.
 
hatuna soccer academy hata moja halafu unategemea miujiza kwenye soka
hivi tuna mpira gani hadi tuwafunge lesotho kwao!!!
acheni bange
.
Hao Lesotho wana Academy?
Uganda, Burundi Kenya wana Academy?
 
Hao Wanasiasa ndo wanaharibu michezo. Tujiliuze Amunike ana muda gani tangu akabidhiwe hiyo timu, je Serikali ilikuwa imewekeza kiasi gani kabla hajakabidhiwa; matokeo ya mpira uwanja ni mikakati ya muda mrefu sio propaganda. Wabunge akiwemo huyo Kibajaji ndio wanaua mpira nchini Tanzania kwa kujilipa mishahara na viinua mgongo minono ilhali wachazaji na watumishi wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakibaki wanapiga miayo; anategemeaji usimamizi mzuri wa michezo ilhali wachezaji na watumishi wana njaa.
 
Hapa ndio utazijua Akili za Wabongo!

Wakishinda mwalimu anafaa wakifungwa Mara moja tu mwalimu aondoke!

Yale Yale enzi za Maximo
Duniani kote ndiyo ilivyo ndo maana makocha wanatimuliwa kila siku
Wao wanamsemo "coaches are hired to be fired "
 
.
Hao Lesotho wana Academy?
Uganda, Burundi Kenya wana Academy?
kama na wao hawana na sisi hatuna kwa nini unadhani unaweza kuwafunga kwao pamoja na kuwa na advantage ya kushangiliwa sana?
 
Huyo lusinde mwenyewe mpira kaucheza wapi? Hebu atuondolee mataputapu yake hapa.
 
Lusinde ana utalaam gani ktk soka?..huko jimboni kwake kuna timu gani ya soka aliyoiongoza ikawa hata bingwa wa mkoa?

Wakati tunamfunga cape verde hapa taifa mbona hawakusema kocha afukuzwe
Ulitaka afukuzwe mechi ya cape verde wakati tulishinda?
Ubovu wa kocha ni pale anapofungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…