NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Huyu sasa ni KAGOMA SIO KAGAME.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia PAK alifanya mafunzo ya kijeshi Monduli akija kama mganda kuna jamaa mmoja mjeshi aliniambia.Kwa mtiririko wa kawaida. Elimu ya kagame ni form six ama high school.
Maana aliacha chuo kikuu Makerere akiwa mwaka wa kwanza na kujiunga na jeshi.
Mseveni alimpeleka kusoma chuo cha kijeshi marekani.. kinaitwa general staff college.
Wanaojua elimu za kijeshi zilivyo mtiririko wake ndio wanajua zaidi
huna akili.Kuna nchi wakati mwingine kutawaliwa na madikteta au krithishana ni afadhali kuliko kuacha demokrasia ichukue mkondo wake.
PK alisoma basic intelligence course ya mwaka mmoja Tz,then akarudi kuendelea na kazi yake,baadae M7 akajaribu kumtenganisha PK na Rwigyema kwa kuwapeleka vyuo vya kijeshi nchi tofauti.Nasikia PAK alifanya mafunzo ya kijeshi Monduli akija kama mganda kuna jamaa mmoja mjeshi aliniambia.
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
PK alisoma basic intelligence course ya mwaka mmoja Tz,then akarudi kuendelea na kazi yake,baadae M7 akajaribu kumtenganisha PK na Rwigyema kwa kuwapeleka vyuo vya kijeshi nchi tofauti.
Rwigyema alipelekwa huko Fort Leavenworth,USA wkt PK alipelekwa Chuo Cha kijeshi Nigeria.Rwigyema alikataa kwenda huko US huku akiomba udhuru kwa M7,huku PK akienda hicho Chuo Cha Nigeria kwa muda kidogo Sana then Ndio akaenda huko Fort Leavenworth,US Kuchukua Nafasi ya Rwigyema.
Rwigyema alibaki Uganda makusudi akiwa na mipango ya kwenda kuivamia Rwanda na PK alikua anajua kila kinachoendelea khs mipango hio.
Uyu alimzaa akiwa tanzania nini ,mbona mwisho jina lake linaendana na watu wa Kagera?
Yote uliyoyaandika hapo Ni uongo mtupu ni vile tu Sina muda wa kubishana,maana nikikuuliza maswali khs story za kusadikika ulizoandika hapo hutaweza kujibu.Pale kulikua na beef kati ya kagame na fred gisa rwegyema, kama ulivosema kagame alipoenda mafunzoni the issue ilikua Museveni alimpenda sana fred so ilikua zuga kwa kagame, ili jamaa akapindue kule ashike nchi, kagame ilimuuma na ukumbuke ni mwanzilishi wa RPF ndio maana wale founder wote wa RPF kagame aliwala vichwa maana walikua wanaona jamaa kadakia mchongo juu kwa juu, na Rwigyema ni mzaliwa wa Rwanda lakini akachanja mbuga kwenda Uganda ndio alikua moja ya makamanda hatari wa museveni, basi umafia wa PK kwa wenzake haujaanza leo kwenye vilima vya matimba akiwa na miaka 33 akauliwa na kuzikwa Remera, hadi hapo kagame akawa hana mpinzani wa maana tena, kwa ufupi ilikua hivo
Ian amekua hivi ?tulikuwa Rwanda na kaka Mabeyo huyu mtoto alikuwa darasa moja na watoto wetu.Pichani ni Ian Kagame (jina lake kamili ni lan Kagame Deogratius Rutagambwa) ambaye alijiunga na jeshi la nchi hiyo wiki iliyopita.
Ian alikuwa ni miongoni mwa Maofisa cadets 568 waliopewa kamisheni katika Chuo cha Kijeshi cha Rwanda ambao waliweza kufaulu mafunzo ya kijeshi nchini Rwanda, kemisheni hizo zilitolewa na Rais Paul Kagame mwenyewe.
Ian Kagame Deogratius Rutagambwa ambae ni moja ya askali wapya katika jeshi la Rwanda alijiunga na Chuo cha kijeshi cha Royal Military Academy huko Sandhurst nchini Uingereza mnamo Agosti 8, 2021 na kuhitimu mafunzo yake Agosti 12, mwaka huu ambapo alitunukiwa cheo cha Luteni wa Pili (Second Lieutenant).
Chuo hiki cha Royal Military Academy cha huko Sandhurst ni miongoni mwa vyuo bora vya Kijeshi nchini Uingereza, vinavyo wafunza watoto wa viongozi wakubwa duniani, hasa kutoka Afrika, Mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba pia alipata mafunzo yake chuo hiki na kuhitimu mwaka 2000.
Hiyo Tisa, Kumi ni Kwamba...
Ian alikuwa ni miongoni mwa askali 24 maalumu waliopelekwa nje ya nchi kupata mafunzo muhimu, Ian Kagame Deogratius Rutagambwa ni mtoto wa 3 kuzaliwa kati ya watoto wa Kagame na mtoto wa pili wa kiume.
Huyu ndio mtoto pekee wa Kagame aliweza kufaulu mafunzo ya juu ya kijeshi na kujiunga na jeshi la nchi hiyo, mtoto mkubwa wa Kagame aitwae Ivan aliachilia masomo katikati katika Chuo cha Kijeshi cha West Point huko Marekani mwaka 2010 miezi miwili tu baada ya kujiunga, Alisema hakupendezwa na Jeshi.
Huyu Ivan alimkatisha tamaa baba yake sana, Paul Kagame alikili hilo hadharani.
Kuna tetesi kwamba Rais Kagame anapanga Ian (Ian Kagame Deogratius Rutagambwa) achukue nafasi yake mwaka 2034, awe ndio mrithi wake wa kiti cha uraisi.
MUHIMU: Itambulike ni tetesi..[emoji1]
Ndimi Comred Mbwana Allyamtu CMCAView attachment 2414354View attachment 2414358View attachment 2414355View attachment 2414356View attachment 2414357View attachment 2414359
😄😄 Aisee,mtoto wa Kiume wa Rwigyema aliyezaa na Mwanamke wa kiganda anaitwa Erick Yuko US na hua anaishia Kampala na kurudi zake US.Na hata watoto wawili alioacha Rwegyema Tete na Eric siwaoni kwenye anga za kiuongozi na kijeshi Rwanda na sijawasikia kabisa
Viongozi Wa Africa Wapuuzi SanaNchi za kifalme hizo
Wanajua bila kuwa mwanajeshi huwezi kuzitawala.
Ndio maana watoto wanapelekwa jeshini kwanza then wanarithi nchi
Hapa Tanzania Ni Kama Hao Hao Maana Hakuna Jipya Zaidi Ya Pwagu Na PwaguziKwani hata hapa kwetu tuna unafuu gani chini ya huyu fisi aitwaye si si emu? Tofauti yetu na wao, kiufupi tu; hakuna.
Jambo jema...ajiandae kuchukua nchi tuPichani ni Ian Kagame (jina lake kamili ni lan Kagame Deogratius Rutagambwa) ambaye alijiunga na jeshi la nchi hiyo wiki iliyopita.
Ian alikuwa ni miongoni mwa Maofisa cadets 568 waliopewa kamisheni katika Chuo cha Kijeshi cha Rwanda ambao waliweza kufaulu mafunzo ya kijeshi nchini Rwanda, kemisheni hizo zilitolewa na Rais Paul Kagame mwenyewe.
Ian Kagame Deogratius Rutagambwa ambae ni moja ya askali wapya katika jeshi la Rwanda alijiunga na Chuo cha kijeshi cha Royal Military Academy huko Sandhurst nchini Uingereza mnamo Agosti 8, 2021 na kuhitimu mafunzo yake Agosti 12, mwaka huu ambapo alitunukiwa cheo cha Luteni wa Pili (Second Lieutenant).
Chuo hiki cha Royal Military Academy cha huko Sandhurst ni miongoni mwa vyuo bora vya Kijeshi nchini Uingereza, vinavyo wafunza watoto wa viongozi wakubwa duniani, hasa kutoka Afrika, Mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba pia alipata mafunzo yake chuo hiki na kuhitimu mwaka 2000.
Hiyo Tisa, Kumi ni Kwamba...
Ian alikuwa ni miongoni mwa askali 24 maalumu waliopelekwa nje ya nchi kupata mafunzo muhimu, Ian Kagame Deogratius Rutagambwa ni mtoto wa 3 kuzaliwa kati ya watoto wa Kagame na mtoto wa pili wa kiume.
Huyu ndio mtoto pekee wa Kagame aliweza kufaulu mafunzo ya juu ya kijeshi na kujiunga na jeshi la nchi hiyo, mtoto mkubwa wa Kagame aitwae Ivan aliachilia masomo katikati katika Chuo cha Kijeshi cha West Point huko Marekani mwaka 2010 miezi miwili tu baada ya kujiunga, Alisema hakupendezwa na Jeshi.
Huyu Ivan alimkatisha tamaa baba yake sana, Paul Kagame alikili hilo hadharani.
Kuna tetesi kwamba Rais Kagame anapanga Ian (Ian Kagame Deogratius Rutagambwa) achukue nafasi yake mwaka 2034, awe ndio mrithi wake wa kiti cha uraisi.
MUHIMU: Itambulike ni tetesi..[emoji1]
Ndimi Comred Mbwana Allyamtu CMCAView attachment 2414354View attachment 2414358View attachment 2414355View attachment 2414356View attachment 2414357View attachment 2414359
Pichani ni Ian Kagame (jina lake kamili ni lan Kagame Deogratius Rutagambwa) ambaye alijiunga na jeshi la nchi hiyo wiki iliyopita.

Nchi za kifalme hizo
Wanajua bila kuwa mwanajeshi huwezi kuzitawala.
Ndio maana watoto wanapelekwa jeshini kwanza then wanarithi nchi
Handsome balaaa, anatamanishaaa uwiiiii.
Ndo amezubaaa inaonekana mpoleee sanaa huyu kaka.View attachment 2414484
Brian kagame nadhani ndio mtoto wa mwisho nae ni askari na kwa sasa yupo msumbiji kwenye mission, ya RDF