Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Wakati wenzako wanajadili mambo ya msingi, wewe akili yako inawaza kufukuliwa tu. Kuna wakati unakera mpaka basi.Handsome balaaa, anatamanishaaa uwiiiii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wenzako wanajadili mambo ya msingi, wewe akili yako inawaza kufukuliwa tu. Kuna wakati unakera mpaka basi.Handsome balaaa, anatamanishaaa uwiiiii.
Mbona ana macho oversize, anaona vuzuri kweli huyu binti!Afrika yote ni moja. Rushwa na kung'ang'ania madaraka kupo pale pale.
Wapi kuna nafuu? Kwetu msoga boys wamejaa tele. Uganda kama kawa, Kenya nao tuchekane wapi?
Afrika yote ni moja. Rushwa na kung'ang'ania madaraka kupo pale pale.
Wapi kuna nafuu? Kwetu msoga boys wamejaa tele. Uganda kama kawa, Kenya nao tuchekane wapi?
Nchi Kama hizi ndio Chadema wanatakiwa waende sasa wakademke huko waone Moto.Pichani ni Ian Kagame (jina lake kamili ni lan Kagame Deogratius Rutagambwa) ambaye alijiunga na jeshi la nchi hiyo wiki iliyopita.
Ian alikuwa ni miongoni mwa Maofisa cadets 568 waliopewa kamisheni katika Chuo cha Kijeshi cha Rwanda ambao waliweza kufaulu mafunzo ya kijeshi nchini Rwanda, kemisheni hizo zilitolewa na Rais Paul Kagame mwenyewe.
Ian Kagame Deogratius Rutagambwa ambae ni moja ya askali wapya katika jeshi la Rwanda alijiunga na Chuo cha kijeshi cha Royal Military Academy huko Sandhurst nchini Uingereza mnamo Agosti 8, 2021 na kuhitimu mafunzo yake Agosti 12, mwaka huu ambapo alitunukiwa cheo cha Luteni wa Pili (Second Lieutenant).
Chuo hiki cha Royal Military Academy cha huko Sandhurst ni miongoni mwa vyuo bora vya Kijeshi nchini Uingereza, vinavyo wafunza watoto wa viongozi wakubwa duniani, hasa kutoka Afrika, Mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba pia alipata mafunzo yake chuo hiki na kuhitimu mwaka 2000.
Hiyo Tisa, Kumi ni Kwamba...
Ian alikuwa ni miongoni mwa askali 24 maalumu waliopelekwa nje ya nchi kupata mafunzo muhimu, Ian Kagame Deogratius Rutagambwa ni mtoto wa 3 kuzaliwa kati ya watoto wa Kagame na mtoto wa pili wa kiume.
Huyu ndio mtoto pekee wa Kagame aliweza kufaulu mafunzo ya juu ya kijeshi na kujiunga na jeshi la nchi hiyo, mtoto mkubwa wa Kagame aitwae Ivan aliachilia masomo katikati katika Chuo cha Kijeshi cha West Point huko Marekani mwaka 2010 miezi miwili tu baada ya kujiunga, Alisema hakupendezwa na Jeshi.
Huyu Ivan alimkatisha tamaa baba yake sana, Paul Kagame alikili hilo hadharani.
Kuna tetesi kwamba Rais Kagame anapanga Ian (Ian Kagame Deogratius Rutagambwa) achukue nafasi yake mwaka 2034, awe ndio mrithi wake wa kiti cha uraisi.
MUHIMU: Itambulike ni tetesi..[emoji1]
Ndimi Comred Mbwana Allyamtu CMCAView attachment 2414354View attachment 2414358View attachment 2414355View attachment 2414356View attachment 2414357View attachment 2414359
Mambo Ni Yale Yale tu,CHADEMA kukiwa na Mzee mtei akamuachia chama mkwewe Mbowe.Mbowe nae akampa Ubunge wa viti maalum mchepuko wake J. Mukya,huku Mzee Ndesamburo nae binti yake Lucy owenya nae akipewa ubunge wa viti maalum,Lissu dada yake Christina Lissu nae viti maalum.Nchi Kama hizi ndio Chadema wanatakiwa waende sasa wakademke huko waone Moto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavuuu cnaaa. Sasa wee best mie niwaze mambo ya msingi yepi?Wakati wenzako wanajadili mambo ya msingi, wewe akili yako inawaza kufukuliwa tu. Kuna wakati unakera mpaka basi.
Ooooooh jamaaa yuko vizuri, acha bidada akondee tyuuh. Mie ndo ningekufaaa kabisaaa.[mention]cocastic [/mention] Ange kagame hapa akiwa na mume wake na mtoto wao wa kike, unaambiwa Ange alikonda sababu ya mwamba huyo
View attachment 2414555
Huyo shemelaaa wa Ian yuko vyediiii mnooooo. Wallah yuko vile type pendwa kwangu.Huyo ni mume wa Ange kagame mtoto wa kagame wa kike hapo wako na mtoto wao siku Ian anapata uluten
View attachment 2414551
Huyu ndio IAN
Anaefuata hapa ni IVan ilikua kwenye mkutano mkuu wa RPF yuko na Baba yake
View attachment 2414553
Halafu ndio yule Brian dogo wa mwisho
View attachment 2414554
[mention]cocastic [/mention] Ange kagame hapa akiwa na mume wake na mtoto wao wa kike, unaambiwa Ange alikonda sababu ya mwamba huyo
View attachment 2414555
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKagame aliingilia kati?[emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo shemelaaa wa Ian yuko vyediiii mnooooo. Wallah yuko vile type pendwa kwangu.
Kagame aliingilia kati?[emoji16][emoji16][emoji16]
Aseeeeeeeeh kumbe una in4 za ndani kuhusu huyu jamaa, ila PK ndo nn kumuua binti wa watu, si angemkanya tyuuh huenda binti angeachia ngazi.Huyo bana alikua anampenda sana demu mmoja alikua anaitwa Alexia mupende ambae aliuawa 2019 kwa kupigwa risasi, maana huyo mwamba alikua anapiga alexia na ange sasa ange akatafuta means sana hadi abaki peke yake na pk anavopenda furaha ya mwanae inasemekana alexia akauliwa ilikua kama movie hivi, huyo mwamba ndio akawa analewa chakarii kwa kumpoteza kipenzi chake maana ange na mwamba walikutana USA wakiwa wote wanasoma na jamaa sio kwamba familia yao ya kinyonge hapana, sema wazazi wake walihamia Rwanda wakitokea Burundi ni watutsi wa Burundi japo ana uraia wa Rwanda,
Aseeeeeeeeh kumbe una in4 za ndani kuhusu huyu jamaa, ila PK ndo nn kumuua binti wa watu, si angemkanya tyuuh huenda binti angeachia ngazi.
Hivi ilikuwaje watusi wa kutokea burundi na uganda wakatoboa huku waliotokea tz wakikwama?Huyo bana alikua anampenda sana demu mmoja alikua anaitwa Alexia mupende ambae aliuawa 2019 kwa kupigwa risasi, maana huyo mwamba alikua anapiga alexia na ange sasa ange akatafuta means sana hadi abaki peke yake na pk anavopenda furaha ya mwanae inasemekana alexia akauliwa ilikua kama movie hivi, huyo mwamba ndio akawa analewa chakarii kwa kumpoteza kipenzi chake maana ange na mwamba walikutana USA wakiwa wote wanasoma na jamaa sio kwamba familia yao ya kinyonge hapana, sema wazazi wake walihamia Rwanda wakitokea Burundi ni watutsi wa Burundi japo ana uraia wa Rwanda,
Damu ya uyo manzi inamfuata uyo mtoto wao na yeye atatendewa ivyo ivyoHuyo bana alikua anampenda sana demu mmoja alikua anaitwa Alexia mupende ambae aliuawa 2019 kwa kupigwa risasi, maana huyo mwamba alikua anapiga alexia na ange sasa ange akatafuta means sana hadi abaki peke yake na pk anavopenda furaha ya mwanae inasemekana alexia akauliwa ilikua kama movie hivi, huyo mwamba ndio akawa analewa chakarii kwa kumpoteza kipenzi chake maana ange na mwamba walikutana USA wakiwa wote wanasoma na jamaa sio kwamba familia yao ya kinyonge hapana, sema wazazi wake walihamia Rwanda wakitokea Burundi ni watutsi wa Burundi japo ana uraia wa Rwanda,
Hatareeeee.Tabia ya kuhack mawasiliano magu aliitoa kwa PK , na kweli alihakikisha binti yake anapata kile anachotaka barbara
Hivi ilikuwaje watusi wa kutokea burundi na uganda wakatoboa huku waliotokea tz wakikwama?
na ajiandae kweli