Mchango wa kijeshi.
Lkn Pia PK amekulia Uganda wkt Janet Kagame amekulia Burundi so watakaobebwa hapo wanajulikana watatokea wapi.
Kwa mfano kwny jeshi lao Kuna kipindi top brass ya jeshi walienjoy waliokulia Congo wakina Gen. James Kabarebe,then kuna zamu walienjoy waliokulia Uganda wakina Gen. Nyamwasa,Kayonga,Nyamvumba na Sasa Ni zamu ya waliokulia Burundi wakina Gen. Kazura.
So far hata Mimi sijaona Kama kuna boss yoyote wa jeshi lao aliyetokea/kukulia Tz lkn nchi nyingine karibu zote za E/Africa yaani Burundi, Uganda,Congo zimeshatoa mkuu wa majeshi huko Rwanda.