Luteni Ian Kagame

Nasikia PAK alifanya mafunzo ya kijeshi Monduli akija kama mganda kuna jamaa mmoja mjeshi aliniambia.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
Nasikia PAK alifanya mafunzo ya kijeshi Monduli akija kama mganda kuna jamaa mmoja mjeshi aliniambia.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
PK alisoma basic intelligence course ya mwaka mmoja Tz,then akarudi kuendelea na kazi yake,baadae M7 akajaribu kumtenganisha PK na Rwigyema kwa kuwapeleka vyuo vya kijeshi nchi tofauti.

Rwigyema alipelekwa huko Fort Leavenworth,USA wkt PK alipelekwa Chuo Cha kijeshi Nigeria.Rwigyema alikataa kwenda huko US huku akiomba udhuru kwa M7,huku PK akienda hicho Chuo Cha Nigeria kwa muda kidogo Sana then Ndio akaenda huko Fort Leavenworth,US Kuchukua Nafasi ya Rwigyema.

Rwigyema alibaki Uganda makusudi akiwa na mipango ya kwenda kuivamia Rwanda na PK alikua anajua kila kinachoendelea khs mipango hio.
 

Pale kulikua na beef kati ya kagame na fred gisa rwegyema, kama ulivosema kagame alipoenda mafunzoni the issue ilikua Museveni alimpenda sana fred so ilikua zuga kwa kagame, ili jamaa akapindue kule ashike nchi, kagame ilimuuma na ukumbuke ni mwanzilishi wa RPF ndio maana wale founder wote wa RPF kagame aliwala vichwa maana walikua wanaona jamaa kadakia mchongo juu kwa juu, na Rwigyema ni mzaliwa wa Rwanda lakini akachanja mbuga kwenda Uganda ndio alikua moja ya makamanda hatari wa museveni, basi umafia wa PK kwa wenzake haujaanza leo kwenye vilima vya matimba akiwa na miaka 33 akauliwa na kuzikwa Remera, hadi hapo kagame akawa hana mpinzani wa maana tena, kwa ufupi ilikua hivo
 
Yote uliyoyaandika hapo Ni uongo mtupu ni vile tu Sina muda wa kubishana,maana nikikuuliza maswali khs story za kusadikika ulizoandika hapo hutaweza kujibu.
 
Ian amekua hivi ?tulikuwa Rwanda na kaka Mabeyo huyu mtoto alikuwa darasa moja na watoto wetu.
 
Na hata watoto wawili alioacha Rwegyema Tete na Eric siwaoni kwenye anga za kiuongozi na kijeshi Rwanda na sijawasikia kabisa
😄😄 Aisee,mtoto wa Kiume wa Rwigyema aliyezaa na Mwanamke wa kiganda anaitwa Erick Yuko US na hua anaishia Kampala na kurudi zake US.

Mtoto wa kike wa Gisa aliyezaa na mkewe mnyarwanda anaitwa Teta alipelekwa kusoma nje na PK na aliporudi akapewa kazi huko Wizara ya Mambo ya nje ya Rwanda na hata kwny harusi yake PK,mkewe na watoto wake walikuwepo.Pia mke wa Rwigyema na mama mzazi wa Rwigyema wote wanaishi Kigali wakihudumiwa na Serikali ya PK.
 
Jambo jema...ajiandae kuchukua nchi tu
mtu chake zitto junior Moronight walker Count Capone
 
Nchi za kifalme hizo

Wanajua bila kuwa mwanajeshi huwezi kuzitawala.

Ndio maana watoto wanapelekwa jeshini kwanza then wanarithi nchi

Afrika yote ni moja. Rushwa na kung'ang'ania madaraka kupo pale pale.

Wapi kuna nafuu? Kwetu msoga boys wamejaa tele. Uganda kama kawa, Kenya nao tuchekane wapi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…