HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ruto naye anakuja vibayaAfrika yote ni moja. Rushwa na kung'ang'ania madaraka kupo pale pale.
Wapi kuna nafuu? Kwetu msoga boys wamejaa tele. Uganda kama kawa, Kenya nao tuchekane wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruto naye anakuja vibayaAfrika yote ni moja. Rushwa na kung'ang'ania madaraka kupo pale pale.
Wapi kuna nafuu? Kwetu msoga boys wamejaa tele. Uganda kama kawa, Kenya nao tuchekane wapi?
Inasemekana hugo sio mtoto hailsi wa kagame
Kitanda hakizai hatumuPichani ni Ian Kagame (jina lake kamili ni lan Kagame Deogratius Rutagambwa) ambaye alijiunga na jeshi la nchi hiyo wiki iliyopita.
Ian alikuwa ni miongoni mwa Maofisa cadets 568 waliopewa kamisheni katika Chuo cha Kijeshi cha Rwanda ambao waliweza kufaulu mafunzo ya kijeshi nchini Rwanda, kemisheni hizo zilitolewa na Rais Paul Kagame mwenyewe.
Ian Kagame Deogratius Rutagambwa ambae ni moja ya askali wapya katika jeshi la Rwanda alijiunga na Chuo cha kijeshi cha Royal Military Academy huko Sandhurst nchini Uingereza mnamo Agosti 8, 2021 na kuhitimu mafunzo yake Agosti 12, mwaka huu ambapo alitunukiwa cheo cha Luteni wa Pili (Second Lieutenant).
Chuo hiki cha Royal Military Academy cha huko Sandhurst ni miongoni mwa vyuo bora vya Kijeshi nchini Uingereza, vinavyo wafunza watoto wa viongozi wakubwa duniani, hasa kutoka Afrika, Mtoto wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Muhoozi Kainerugaba pia alipata mafunzo yake chuo hiki na kuhitimu mwaka 2000.
Hiyo Tisa, Kumi ni Kwamba...
Ian alikuwa ni miongoni mwa askali 24 maalumu waliopelekwa nje ya nchi kupata mafunzo muhimu, Ian Kagame Deogratius Rutagambwa ni mtoto wa 3 kuzaliwa kati ya watoto wa Kagame na mtoto wa pili wa kiume.
Huyu ndio mtoto pekee wa Kagame aliweza kufaulu mafunzo ya juu ya kijeshi na kujiunga na jeshi la nchi hiyo, mtoto mkubwa wa Kagame aitwae Ivan aliachilia masomo katikati katika Chuo cha Kijeshi cha West Point huko Marekani mwaka 2010 miezi miwili tu baada ya kujiunga, Alisema hakupendezwa na Jeshi.
Huyu Ivan alimkatisha tamaa baba yake sana, Paul Kagame alikili hilo hadharani.
Kuna tetesi kwamba Rais Kagame anapanga Ian (Ian Kagame Deogratius Rutagambwa) achukue nafasi yake mwaka 2034, awe ndio mrithi wake wa kiti cha uraisi.
MUHIMU: Itambulike ni tetesi..[emoji1]
Ndimi Comred Mbwana Allyamtu CMCAView attachment 2414354View attachment 2414358View attachment 2414355View attachment 2414356View attachment 2414357View attachment 2414359
Kitanda hakizai haramuHuyu ni mume wa dada yake
Kitanda hakizai haramu , ujanja wake WOTE ila jamaa akampa mimba mkewePK alisoma basic intelligence course ya mwaka mmoja Tz,then akarudi kuendelea na kazi yake,baadae M7 akajaribu kumtenganisha PK na Rwigyema kwa kuwapeleka vyuo vya kijeshi nchi tofauti.
Rwigyema alipelekwa huko Fort Leavenworth,USA wkt PK alipelekwa Chuo Cha kijeshi Nigeria.Rwigyema alikataa kwenda huko US huku akiomba udhuru kwa M7,huku PK akienda hicho Chuo Cha Nigeria kwa muda kidogo Sana then Ndio akaenda huko Fort Leavenworth,US Kuchukua Nafasi ya Rwigyema.
Rwigyema alibaki Uganda makusudi akiwa na mipango ya kwenda kuivamia Rwanda na PK alikua anajua kila kinachoendelea khs mipango hio.
Yani mkuu shida tupu.Hakuna Tz bila Ccm
Kweli?...au ni maneno tu ya kuzusha ?Inasemekana kagame aligongewa mke ndo akapatikana ian