Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

Kabla ya yote wamtoe marindah kwanza,Ila wanaweza wakawa wanapotezea Muda wao tu wakashangaa huyo Gen. anakata mauno balaa full kuenjoy maana hayo ndio mambo Wamarekani/NATO na mashabiki wao wa JF wanaayapenda saaana.
Tunajua mmevurugwa kwa kushindwa kule Ukraine,hatuna sababu ya kukushangaa unavyoishiwa hoja kwa kiasi hiki
 
Da' Nyamizi, inaonekana hadi leo Ukraine haijageuka majivu eti? Wakati tuliambiwa siku tatu!
Hebu tuwekee source yako hapa ambapo kamanda Putin alisema wataikuchukua Ukraine ndani ya siku 3,na ukishindwa kuweka source then toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti " hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele.".
 
Hebu tuwekee source yako hapa ambapo kamanda Putin alisema wataikuchukua Ukraine ndani ya siku 3,na ukishindwa kuweka source then toka hapo nje ya nyumba kisha angalia juu na ujipige pige kifua huku ukisema kwa sauti " hakika Mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele.".
Ama kweli Putin kawavurugeni,ni kweli mnapaswa kupagawa haswa.Kyiv pamekuwa pamoto hadi mmepakimbia wenyewe
 
Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani Luten General Roger L. Cloutier Jr, Pamoja na propaganda kadhaa za watu wasio rasmi wala wasemaji wa Marekani kukanusha taarifa hizo, lakini Pentagon na White House hawajatoa taarifa zozote.

Ifahamike kuwa hapo mwanzo Putin alionya kwamba mamluki yeyote atakayeingia Urus atashughulikiwa sawasawa na mhalifu na adui wa Moscow, Na ikikumbukwa ni wiki tatu tu waliposhanbuliwa Mamluki wa Uingereza katika miji ya Khakyiv nk. Sasa leo ni Marekani.

Huyu amekuwa akijichimbia kwenye kambi ya kijeshi ya Azov mjini Mauripol akiongoza vikosi vya Ukraine kwa muda mrefu na kutoa upinzani kwa majeshi ya Ukombozi ya Urusi. Taarifa toka Moscow zinasema kamanda huyu alikuwa akiongoza vikosi vya Walenga shabaha (snipers) ambao wengi wameshaanhamizwa.

Luteni General Roger amwahi kuongoza kikosi cha Marekani kilichoko Afrika (Africa Command HQ.

Taarifa zinasema kwa siku ya tatu sasa Marekani inahaha kumkomba bila mafanikio na imejaribi kila njia kumpigia magoti Rais Putin, ambapo kinyume chake Putin ameamuru General huyu na wenzake waliokamatwa wapelekwe Moscow

View attachment 2177884

View attachment 2177885

View attachment 2177891

View attachment 2177894

View attachment 2177895
Mkuu ukicopy makala ya mtu usiondoe jina la mwandishi wake... Post kama ilivyo
 
Unaijua idadi ya mashoga waliopo Russia,au unajizimia data makusudi
[emoji16][emoji16][emoji16] msimamo wa kidume huo,hebu tuwekee hapa na msimamo wa sleepy Joe khs upunga na usagaji.[emoji16][emoji16]
Screenshot_20220406-184814.jpg
 
Kwani Ni uongo kwamba US/NATO na mashabiki wao Ni mashabiki wa ushoga na Ni mashoga?
Na pia ni mashabiki pia wa games,fast food, social networks, music,football and soccer lakini haihusiani chochote Na Mada ya vita vya urusi Na ukraine
 
Na pia ni mashabiki pia wa games,fast food, social networks, music,football and soccer lakini haihusiani chochote Na Mada ya vita vya urusi Na ukraine
[emoji16][emoji16] pale ambapo Mmarekani mweusi anapodhani fasta food, Twitter,games ni kipaumbele Cha nchi nyingine Kama zilivyo nchi za mashoga US/NATO [emoji16][emoji16]
JamiiForums1217226031.jpg
 
[emoji1787][emoji1787] hapo pamekuwa pagumu kwake kupajibu,afadhari umemsaidia kumjibia
[emoji16][emoji16][emoji16] sleepy Joe anasemaje khs mapunga? Anasema kilainishi kipi kinawafaa kipindi hiki? [emoji16][emoji16]
 
Mtoa posts hii habari umeikopi kwa yericko nyerere Facebook,tunajua yericko nyerere yuko upande wa urusi,mbona hatoi habari ya magenerali 7 wa urusi waliouawa ukraine
Toa wewe itatosha sana mkuu ... Hata CNN,BBC,sky hawatoi habari nzuri za Urusi ... Sooo ukijipa jukumu la kutoa habari za Ukraine utakuwa umefanya la maana kuliko kulalamika
 
Back
Top Bottom