Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #41
Asante pia kwa kusomaAsante
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante pia kwa kusomaAsante
Mkuu, hii "Fr" ndio nini?
Wanahofu ya kushindwa na Magufuli Wanajua Magufuli lazima ashinde kwa 98% ndio maana hawataki wapambane naye.Asante pia kwa kusoma
Rais Magufuli anafanya vitu vikubwa sana.Asante pia kwa kusoma
Thanks mkuu.Safisana mkuu
Ndio hivyo mzee baba. Ruskies are no joke...Watu wa Russia wote wanatabia za kipekee dunia hawapendi kuchezewa.
Mkuu unafaahamu hawa Baader mein horf?Ninafahamu vema historia ya makundi ya kigaidi/ukombozi huko Middle East labda tunatofautiana uzito wa information ulizo nazo wewe na zile ambazo mimi ninazo kwa maana kila mmoja amesoma vitabu vya milengo tofauti...
Niliwasoma vema sana hao Baader – Meinhof katika vitabu vyangu.Mkuu unafaahamu hawa Baader mein horf?
Hao sasa ndo walikuwa haswa wanafadhiliwa na soviet union,Hamas ilianzishwa na mossadNiliwasoma vema sana hao Baader – Meinhof katika vitabu vyangu.
The PFLP joined the Palestine Liberation Organization (PLO), the umbrella organization of the Palestinian national movement, in 1968, becoming the second-largest faction after Fatah.Kiongozi wa PFLP-(Peoples Front for the Liberation of Palestine),hakuwa Arafat,,alikua George Habash.
Sawa mkuu...Hamas ilianzishwa na mossad
Baader – Meinhof ilikuwa na mwanamama Magdalena Kopp mmoja wa magaidi wa kikundi hicho kisha baadae akaja kuolewa na Carlos The Jackal na kubahatika kupata naye watoto 2 kama sijakosea.Mkuu unafaahamu hawa Baader mein horf?
Baader meinhof ndo Red Army Fanction(RAF),based on west germany,hawa walikuwa sponsored na urusi ili ku create havoc in west germany,pia walikuwa na muingiliano na makundi ya kipalestina,,hawa jamaa na walishirikiana na black September kuteka ile ndege ya israel na kuileta mpaka entebe,uganda,Mwanamama Magdalena Kopp alikuwa ni mmoja wa magaidi wa kikundi hicho cha Baader – Meinhof kisha baadae akaja kuoana na Carlos The Jackal na kubahatika kupata watoto 2 kama sijakosea.
Sawa mkuu...Baader meinhof ndo Red Army Fanction(RAF),based on west germany,hawa walikuwa sponsored na urusi ili ku create havoc in west germany,pia walikuwa na muingiliano na makundi ya kipalestina,,hawa jamaa na walishirikiana na black September kuteka ile ndege ya israel na kuileta mpaka entebe,uganda,
Mkuu, samahani kidogo, unaweza ukanipa reference yoyote ya hii "statement" ili niisome kwa undani kidogo please?!!!!Hamas ilianzishwa na israel miaka ya 70 ili ku counter balance nguvu ya PLO.
Sijaipaste vizuri,wewe google,israel created hamas,kuna source kibao.,Mkuu, samahani kidogo, unaweza ukanipa reference yoyote ya hii "statement" ili niisome kwa undani kidogo please?!!!!