Lyatonga Mrema: CCM wamenichezea rafu Uchaguzi Serikali za Mitaa, aonya

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
 
Yupo ili kuonyesha kuna vyama pinzani vilishiriki lakini ni yule yule kwa ngozi ya kondoo
hapo ni kutengeneza habari ccm ni ile ile ina matawi mengi mpaka uwe una jicho la tatu ndio utaelewa
Uyu jamaa ni pandikizi toka kpnd cha bonge
 
Walewale tu Alafu mwezi akaunyi inatuna kwa mshahara wa parole
 
Kwa hiyo hapo anamlalamikia RC kama nani? Wakati RC ndio stelingi wao[emoji851]
 
Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema amedai Tanzania hakuna demokrasia baada ya kuchezewa rafu katika kijiji cha Kiraracha.

Amesema chama chake kilishiriki uchaguzi ili kuonyesha dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia lakini alichofanyiwa katika kijiji hicho amekata tamaa.

Amelalamikia jeshi la polisi wilaya nzima kuhamia kijijini hapo ili kusaidia mgombea wa CCM kutangazwa mshindi.

"Kwa kweli nimekata tamaa Tanzania hakuna demokrasia", hayo ni maneno ya Mrema.

Chanzo: BBC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…