Hivi ukiona shetani anamuonea mdogo wake unaweza kumsaidia?
Angemuuliza le profesele amwelewesheShetani hana rafiki.
Alifikiri kusimama Kama upinzani ikiwa wenzie wamejitoa angeshindishwa....
He he he heeee
Siku zaja ccm na wapinzani wataungana dhidi ya adui yao ngumu kuelewa sasa hadi wakati ukifika.Akishaumaliza upinzani ataimaliza ccm aunde mfumo wake ndipo akili zitawaijia
Alitegemea nini? Waliosusia kushiriki uchaguzi hawakuwa wendawazimuAkome Mpumbavu na msaliti mkubwa'