Lyyn: Sitaki mwanaume asiye na pesa

Lyyn: Sitaki mwanaume asiye na pesa

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Mrembo aliyeanza kujulikana kwenye video ya KWETU ya Rayvanny kama video vixen (LYYN)katika mahojiano na vyombo vya habari amefunguka kuhusiana na maisha yake pia na kusema aina ya mwanaume anayeweza kuwa naye.Katika mahojiano amefunguka haya:•

"Mimi sitaki mwanaume asiye na pesa nataka mwanaume hata nikimuomba Million 10 ananitumia hapo hapo bila kuulizana maswali ya aina yoyote ile kwa kweli mwanaume asiye na hela hapa hatuwezani Nyumba niliyopanga zamani nilikua nalipa kodi shs Milioni 3 kwa mwezi nikahama hapo na nikahamia nyumba nyingine napo nalipa zaidi ya kodi ya zamani sasa sijajua ile nyumba ya zamani kama Harmonize analipa kodi ile ile kwa kweli sijui"-Ameongea Lyyn.
.
Beauty with full mucus in brain.🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️🤷🏿‍♂️
 
[emoji41]
1650257569.jpg
 
"Mimi sitaki mwanaume asiye na pesa nataka mwanaume hata nikimuomba Million 10 ananitumia hapo hapo bila kuulizana maswali ya aina yoyote ile kwa kweli mwanaume asiye na hela hapa hatuwezani Nyumba niliyopanga zamani nilikua nalipa kodi shs Milioni 3 kwa mwezi nikahama hapo na nikahamia nyumba nyingine napo nalipa zaidi ya kodi ya zamani sasa sijajua ile nyumba ya zamani kama Harmonize analipa kodi ile ile kwa kweli sijui"-Ameongea Lyyn.
.
Beauty with full mucus in brain.[emoji2379][emoji2379][emoji2379]

Alafu mara nyingi mademu kama hawa unakuta kwao njaa kali balaa, demu anataka gari baba ake hajawahi kuwa hata na pikipiki.
 
Alafu mara nyingi mademu kama hawa unakuta kwao njaa kali balaa, demu anataka gari baba ake hajawahi kuwa hata na pikipiki.
Kama ulikuwepo, mtoto wa Buguruni huyo tena ile Buguruni chakavu isiyokua na mitaa,

Anajisifia kulipa kodi ya milioni 3 badala afanye mpango wa kujenga hao wanaomlipia kuna siku wataenda kwa vitoto vinavyochipukia sasa hivi vikina Paula na yeye ataitwa bibi kigagula, hawajifunzi kwa role model wao Wema Sepetu.
 
Hawa mastar bana hawajifunzi kwa wenzio ambao ni Zilipendwa btw mtoto aliezaliwa 2000 ana miaka 22 kwa sasa sasa kina Wema wa 1988 sijui na 1989 wameshakuwa Phased out
 
Back
Top Bottom