Message hii huwa inafanya weekend iende vizuri sana lakini kwa introvert unamharibia kabisa

Message hii huwa inafanya weekend iende vizuri sana lakini kwa introvert unamharibia kabisa

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
KESHO SAA 10 JIONI HAKIKISHA UNAFIKA KWENYE SHEREHE / KIKAO CHA xxxxxx. USIKOSE !

Ni message ambayo huwa inapokelewa vizuri sana na watu wa kawaida wakiwaza kukutana na watu wengi pamoja na vyakula lakini kwa Introvert huwa wanachukia sana 😂😂
 
Mnoooo 🤣

Nilipigiwa Simu mchana wa Leo nikapewa taarifa kuwa Kuna dogo kapata ajali yupo hospital yaani nilikuwa najivuta vuta mpaka kufika Huko location sio poa
Uko sawa kweli? 😥
Yani taarifa ya ajali unajivuta?
Na unacheka bila hofu..!!
 
Kila mtu ni introvert siku hizi. Hata waliohudhuria harusi they would swear on their mother that they are introverts too.

 
Back
Top Bottom