M-PESA sio salama kabisa? Wakala anawezaje kuiba pesa ambayo tayari imeingia kwenye simu

Kama wakala amekuibia pesa, ina maana amesitisha muamala, kitendo ambacho ungepata sms ya sitisho la muamala. Kinyume na hapo umejichanganya mwenyewe
 
PESA zangu mimi jamani eeh! Wanaweza kwenda kutoa kwenye akaunti ya mgodi? Maana pesa zangu zote zipo huko kwenye DUNDULIZA AKIBA.
 
Yan unagombana na mtu kisa buku?

Weka namba yako hapa nikitumie 10000 chap
 
Nimewapigia sana mkuu naona hawana msaada wanasema niwatumie kwenye 0754100100 WhatsApp nimewatumia sms ya muamala naona kimya nahisi kuna kitu hakipo sawa

USSR
Kama una shida ya dharura, kuwasiliana na hawa jamaa kwa simu, social media etc ni kupoteza muda wako tu. Hautasaidiwa kwa wakati.

Labda uende ofisini kwao ukapange foleni.
 
nenda kwenye simu yako kaangalie tarifa fupi ingia acount yako kicha miamala utaona hiyo pesa imeingia wapi.nilishawahi ibiwa kizembe..mtu aliwithdraw pesa yangu kupitia application ya tigo iliyokwenye simu yake.aliweka no ya siri yangu na no ya simu kwake so mda wowote alikuwa anaweza kuhamisha pesa bila mimi kujua.
 
Hii ndo yamuhimu hata mm wife anatoa hela kwenye akaunti yangu akiwa na shida bila yamm kuhusika na laini ninayo mm, yeye anatoa kupitia application tu niliomuwekea kama kuna dharura ndogondogo awe anatoa tu
 
Huyo wakala nae achapwe viboko kwa kuiba hela hiyo....ila angalia taarifa fupi kuhusu miamala yako utajua ilikoenda
 
Hii ndo yamuhimu hata mm wife anatoa hela kwenye akaunti yangu akiwa na shida bila yamm kuhusika na laini ninayo mm, yeye anatoa kupitia application tu niliomuwekea kama kuna dharura ndogondogo awe anatoa tu
na watu wengi hawalijui hili mwisho siku watabaki wanawalaumu mawakala kwamba ni wezi..ni rahisi tu aingie kwa account yake aangalie taarifa fupi ataona kila kitu....hapa atapata ushahidi kamili bila kusumbuana na mtandao...
 
Haya tumeisha kufahamu Bw. Wilhelm John Chuwa maarufu kama USSR.
 
Wewe dili na mtandao wako wakuhakikishie kama wakala kaweka hela na imefika
 
Haya tumeisha kufahamu Bw. Wilhelm John Chuwa maarufu kama USSR.
Lugha wanayotumia voda ukiweka hela kwa wakala ndo hiyo mkuu, yani hapo inamaanisha huyo chuwa ndo wakala
 
Hiyo ni Buku tu umeweka kwa Wakala!, unalalamika hivi....

Duh... Aisee! Ingekuwa Elfu kumi?....! Ingekuwaje?... Huyo wakala si angehama huo mtaa!

Muwe mnakumbuka mna madeni ya songesha na nipige tafu+ mgodi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…