Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,508
- 5,981
Kinachofanyika kwa sasa ni m23 ni kujipendekeza na kutaka kuugwa mkono na jumuiya za kimataifa hilo halipo hao ni wavamizi na ndio sababu ya vurugu hizo ghafla wageuke waugwana..Jeshi la M23, limetembelea kambi ya Mubambiro. Baada ya mazungumzo (hawakuingia kambini, waliishia nje ya kambi). Wanajeshi wa Afrika kusini wameonyesha kuridhia ukalimu wa M23 na kuomba mambo matatu:
1. Kuruhusiwa kwenda Goma, kwa kutumia vifaru, wakakusanye vitu vyao vilivyopo kwenye kambi ya MONUSCO na kukaa navyo walipo kambini hapo.
2. Kuruhusiwa kurudi nyuma walipokuwa na positions za mapigano, wakusanye vipande vya miwili ya wenzao ili visafilishwe kuzikwa nchini kwao.
3. Kuruhusiwa kutumia uwanja wa Goma kusafilisha miwili hiyo.
M23 imewaomba kuwasilisha maombi yao hayo kwa maandishi, ili viongozi wakuu wayapitie na wawajibu.
Pamoja na kutangaza vifo 13, inaonekana wazi Africa Kusini walipoteza wanajeshi zaidi ya idadi iliyotangazwa.
Wakati huo pia, M23 imewachukua waliokuwa wanajeshi wa FARDC na kuwapeleka kambini kwa ajili ya mafunzo ya uzalendo, huku wakiahidiwa kuendelea kulipwa kama wanajeshi, kwa mshahara mpya watakaopangiwa, na badae watakaopenda wataendelea na kazi yao. Upande wa wazalendo, wenyewe watafundishwa mbinu za ujasiliamari na kuruhusiwa kuanzisha maisha mapya uraiani.
Mpaka sasa, M23 imesharejesha umeme mjini Goma, kwa zaidi ya asilimia 75, maji yapo mbioni kusambaa mjini kote baada ya umeme kurudi, na Internet kwa sasa inapatikana,kupitia MTN ya Rwanda, ambapo mtandao kwa sasa unapatikana hadi umbali wa km 10 kutoka mpakani, jambo linalouweka mji mzima wa Goma katika hali ya kuweza kufikiwa na mawasiliano ya uhakika.
Hata hivyo, inasemekana bado mapigano yanaendelea Kivu kasikazini, ambapo lengo la M23 ni kukomboa Kivu kazikasini na kuhakikisha uwanja wa ndege wa Kavumu, jimboni humo, hautumiki.
Hawahitaji kujipendekeza kwa yeyote au kuungwa mkono na beberu, Tshesekedi arudi Brussels kuendesha Uber maana ndio akili yake ilipofikiaKinachofanyika kwa sasa ni m23 ni kujipendekeza na kutaka kuugwa mkono na jumuiya za kimataifa hilo halipo hao ni wavamizi na ndio sababu ya vurugu hizo ghafla wageuke waugwana..
Mzee pale Ubelgiji kapiga kazi zote usafi, Uber taxi na kufanya pizza delivery.Hawahitaji kujipendekeza kwa yeyote au kuungwa mkono na beberu, Tshesekedi arudi Brussels kuendesha Uber maana ndio akili yake ilipofikia
Wanauza madiniPropaganda ya kishoga kabisa.., hao M23 wanatoa wapi hizo pesa za mishahara?
Comment Yako imekaa kibepari zaidi😊Dunia uwanja fujo, Dunia sio sehemu rafiki utaonewaonewa huruma tu, ubabe ni jambo muhimu sana Dunia ili jamii yako iweze kusurvive.
Europe, America, China,Russia nk bila ubabe na utemi utemi sidhani kama wangefika hapo walipo, Russia angekuwa mnyonge mpaka sasa wahuni wangekuwa Moscow na wangeshaweka pandikizi lao.
M23 na Rwanda hizi week mbili wametoa somo kubwa sana kwa Africa.
Tanzania tuache usingizi sasa, tuanze kusajiri vijana jeshini kwa wingi, tuanze kuwa na technolojia za kisasa sana ili mwisho wa siku jeshi letu liwe sehemu ya kukuza uchumi wa nchi wetu, Kwa kutumia jeshi letu tunaweza kusainisha mataifa mengi sana mikataba tukapiga hela kwa maslahi ya Taifa letu.
Mimi ndio maana napenda sana kiongozi dikteka, muhimu tu aweke mbele masilahi ya nchi. Upumbavu wa demokrasia na diplomasia unachelewesha sana maendeleo ya nchiDunia uwanja fujo, Dunia sio sehemu rafiki utaonewaonewa huruma tu, ubabe ni jambo muhimu sana Dunia ili jamii yako iweze kusurvive.
Europe, America, China,Russia nk bila ubabe na utemi utemi sidhani kama wangefika hapo walipo, Russia angekuwa mnyonge mpaka sasa wahuni wangekuwa Moscow na wangeshaweka pandikizi lao.
M23 na Rwanda hizi week mbili wametoa somo kubwa sana kwa Africa.
Tanzania tuache usingizi sasa, tuanze kusajiri vijana jeshini kwa wingi, tuanze kuwa na technolojia za kisasa sana ili mwisho wa siku jeshi letu liwe sehemu ya kukuza uchumi wa nchi wetu, Kwa kutumia jeshi letu tunaweza kusainisha mataifa mengi sana mikataba tukapiga hela kwa maslahi ya Taifa letu.
Hongera sana M23 iendelee kuimarisha usalama katika maeneo yote waliyochukuaJeshi la M23, limetembelea kambi ya Mubambiro. Baada ya mazungumzo (hawakuingia kambini, waliishia nje ya kambi). Wanajeshi wa Afrika kusini wameonyesha kuridhia ukalimu wa M23 na kuomba mambo matatu:
1. Kuruhusiwa kwenda Goma, kwa kutumia vifaru, wakakusanye vitu vyao vilivyopo kwenye kambi ya MONUSCO na kukaa navyo walipo kambini hapo.
2. Kuruhusiwa kurudi nyuma walipokuwa na positions za mapigano, wakusanye vipande vya miwili ya wenzao ili visafilishwe kuzikwa nchini kwao.
3. Kuruhusiwa kutumia uwanja wa Goma kusafilisha miwili hiyo.
M23 imewaomba kuwasilisha maombi yao hayo kwa maandishi, ili viongozi wakuu wayapitie na wawajibu.
Pamoja na kutangaza vifo 13, inaonekana wazi Africa Kusini walipoteza wanajeshi zaidi ya idadi iliyotangazwa.
Wakati huo pia, M23 imewachukua waliokuwa wanajeshi wa FARDC na kuwapeleka kambini kwa ajili ya mafunzo ya uzalendo, huku wakiahidiwa kuendelea kulipwa kama wanajeshi, kwa mshahara mpya watakaopangiwa, na badae watakaopenda wataendelea na kazi yao. Upande wa wazalendo, wenyewe watafundishwa mbinu za ujasiliamari na kuruhusiwa kuanzisha maisha mapya uraiani.
Mpaka sasa, M23 imesharejesha umeme mjini Goma, kwa zaidi ya asilimia 75, maji yapo mbioni kusambaa mjini kote baada ya umeme kurudi, na Internet kwa sasa inapatikana,kupitia MTN ya Rwanda, ambapo mtandao kwa sasa unapatikana hadi umbali wa km 10 kutoka mpakani, jambo linalouweka mji mzima wa Goma katika hali ya kuweza kufikiwa na mawasiliano ya uhakika.
Hata hivyo, inasemekana bado mapigano yanaendelea Kivu kasikazini, ambapo lengo la M23 ni kukomboa Kivu kazikasini na kuhakikisha uwanja wa ndege wa Kavumu, jimboni humo, hautumiki.
Hili halitoweza kutimia hadi siku atakapotokea mkongo halisi wa kuitetea Congo,hawa M23 ni wasanii kama wasanii wengine na mamluki tu walipo kutelekeza malengo ya watu wengine ambao hawana mpango mwema na CongoNgoja wasonge tu mbele waikomboe Congo itoke mikononi mwa wasanii