M23 yalitembelea Jeshi la Afrika Kusini kambini kwao

M23 yalitembelea Jeshi la Afrika Kusini kambini kwao

M23 ni watutsi wa Congo ila pia askari wa jeshi la Rwanda wapo wanapigana nao bega kwa bega dhidi ya serikali ya Drc
Hiyo ni Rwanda, acheni kuficha ficha ukweli. Rwanda ni taifa la malaya wa madini kwa wazungu. Mineral bandits and prostitutes..!
 
Hilo kamwe halitawezekana. Ulaya tu hawaelewani ndani Umoja Ulaya huku kila moja akiwa na Serikali yake.
Lakini angalao wao wako organised kuliko sisi Waafrika sisi ni RAHISI SANA kugawanywa na kugawanyika.
 
KINSHASA wameshindwa kulinda mipaka ya DRC na kuleta amani DRC, matokeo yake wamejikita kuleta lawama kwa M23 ilihali Kinshasa nao ni mawakala tu wa mabeberu Kwa kuuza madini kutoka sehemu mbalimbali huku waCongoman wakifa njaa tu.
Dunia hii haina watu wapumbavu kama Wacongo, vita vyao wanataka watu wengine wapigane na wafe kwa ajili yao huku wao wakikata viuno kwa kucheza mayenu kwenye vilabu vya pombe.
 
Dunia hii haina watu wapumbavu kama Wacongo, vita vyao wanataka watu wengine wapigane na wafe kwa ajili yao huku wao wakikata viuno kwa kucheza mayenu kwenye vilabu vya pombe.

Wamejaa Ufaransa, Belgium nk wamejazana hapo KInshasa na Lubumbashi wanakula bata tu.

Ule ukanda wa Katanga wote umejaa makampuni ya madini ambayo Kodi yanalipa Kinshasa na Kwa machifu huko Katanga matokeo yake wanashindwa kununua silaha na hata kumobilize askari wa kutosha huko mashariki kupambana na kitisho cha M23.

Leo wanataka Askari wetu wakafe, kuumia huku tukitumia resources zetu.
 
Unaposema wasanii unamaanisha akina Koffi Olomide au?😁
Na Fally Pupa na
Ni wale wanajeshi wa FARDC na wazalendo, wamepelekwa brain washing(safisha bongo).

Wanajeshi kwanza wameahidiwa kuendelea kulipwa. Hakika kamahahara katapandishwa ili washikike vizuri. Af wanapewa mafunzo mapya, waingizwe jeshini(M23).

Kwa hiyo wataongeza nguvu. Na hapo ndo ujue uzalendo wa kweli kwa wa Congo haupo, wao ni hela tu. Na wengine wakisikia mishahara huko ni mizuri, si kazi bwana eh!? Hakika watajiunga.
Then ndiyo mpeleke pua zenu mkawapiganie watu wa aina hiyo, Mcongo anaangalia mshiko tu. Matapeli kwenye kila sekta, mpaka kwenye vita wanatanguliza utapeli. Acha wanyooshwe.
 
Wamejaa Ufaransa, Belgium nk wamejazana hapo KInshasa na Lubumbashi wanakula bata tu.

Ule ukanda wa Katanga wote umejaa makampuni ya madini ambayo Kodi yanalipa Kinshasa na Kwa machifu huko Katanga matokeo yake wanashindwa kununua silaha na hata kumobilize askari wa kutosha huko mashariki kupambana na kitisho cha M23.

Leo wanataka Askari wetu wakafe, kuumia huku tukitumia resources zetu.
Wamejazana kila kona ya dunia, hawako tayari kabisa kwenda front kupambana. Msipowapigania vita vyao wananuna na kulalama, yaani mtumie resources zenu na kuweka askari wenu kwenye risks mkishinda wanufaika ni wao. Utapeli wao ni wa kiwango cha lami.
Canada wamejazana kinoma, Quebec wanaona kama ni peponi. You can never understand these people.
 
Hiyo ni Rwanda, acheni kuficha ficha ukweli. Rwanda ni taifa la malaya wa madini kwa wazungu. Mineral bandits and prostitutes..!
Labda uwe muhamiaji/mkimbizi wa kutoka DRC ndiyo utapingana na ukweli.
The painful truth ni kwamba linchi likubwa wajipiganie wenyewe, wao wale bata wengine wapigane na wafe kwa ajili yao ndiyo utaratibu gani huo.
Tshisekedi anauza madini probably kuliko individual yoyote duniani kwa sasa kwanini pesa anazopata asizi-invest kwenye jeshi ili liwe imara au anazirundika tu kwenye Swizz Banks?
Screenshot_20250202-150013.jpg
Screenshot_20250202-150046.jpg
Screenshot_20250202-150201.jpg
 
Back
Top Bottom