M23 yalitembelea Jeshi la Afrika Kusini kambini kwao

M23 yalitembelea Jeshi la Afrika Kusini kambini kwao

Comment Yako imekaa kibepari zaidi😊

Kunawakati bila kuishi kibepari hauwezi kusonga, survival inahitaji ubepari.

Ugomvi wa Japan na USA ulianzia pale USA alipomuwekea Japan ilihali Japan anashida ya rubber na alikuwa anaitoa USA, Japan akaona isiwe shida akaenda zake Burma, Malysia na Singapore kuchukua makoloni ili apate raw material anayoitaka Kwa survival yake.
 
Sahii kabisa

Propaganda ya kishoga kabisa.., hao M23 wanatoa wapi hizo pesa za mishahara?
Kwa hiyo, mpaka wanafikia hatua waliofikia unadhani hawana funds!? Hivi, kama mtu anaweza kuwafashili wanaofanya mapenzi ya jinsia moja, unadhani hana faida!? Ulishaambiwa dunia ni tambala bovu. Leo hii mtu anaweza akafadhili hao M23, na faida akiilenga miaka 5 ijayo. Pili, ajuae walivyojipanga ni nani!? Mji mzima haukuwa na umeme. Leo hii unawaka. Maji hayakuwepo, lakini kwa sasa unaambiwa mitaa yote ina maji. Internet wamefanya mpango kutoka Rwanda, wanapata. Je, mishahara watashindwaje kulipa!?

Raia washenzi sana. Wiki moja tu walikuwa wakiwapigia mwano na kuwakaahifu wakiiomba serikali iwasaidie, leo wapo barabarani kuikemea na kuomba raisi ajiudhulu. Ili waweke ushindi lazima wahakikishe raia wana furaha. Maji bure mji mzima unadhani mchezo!? Hiyo ni tiketi tosha
 
Hiyo ndege iliachwa pamoja na silaha nyingine na magari(inasemekana ni zaidi ya 200). Kwa hiyo imepaki tu kwenye shedi.
Hizo silaha zilizoshikwa ni mamilioni ya Dalars.
Wakati Mwananchi kula mara moja kwa siku ni shida.
 
Back
Top Bottom