M23 yalitembelea Jeshi la Afrika Kusini kambini kwao

Hizo silaha zilizoshikwa ni mamilioni ya Dalars.
Wakati Mwananchi kula mara moja kwa siku ni shida.
Ndo ujinga wa waAfrika. Kwanza zimenunuliwa watu wauwane wao kwa wao. Serikali hapo imepoteza sana, tena sana. Na ukiziangali, ni msaada mkubwa kwa muasi aise!!! Jiulize magari yaliyokuwa mjini Goma yote ya jeshi na misilaha mizito ya kibabe!!! Jiulize sasa! Wamwanza vita kwa kuungaunga, sasa hivi vifaa ni uhakika.
 
Na Leo asubuhi nilikuwa naangalia Waasi wanazidi kurecruit vijana huenda wakafikia 20000 strong armed to the teeth ili waanze kwenda Kisangani Bukavu na hatimae Lubumbashi.
 
Hivi kweli MUUNGANO WA AFRIKA MOJA utawezekana kweli?!
 
Na Leo asubuhi nilikuwa naangalia Waasi wanazidi kurecruit vijana huenda wakafikia 20000 strong armed to the teeth ili waanze kwenda Kisangani Bukavu na hatimae Lubumbashi.
Ni wale wanajeshi wa FARDC na wazalendo, wamepelekwa brain washing(safisha bongo).

Wanajeshi kwanza wameahidiwa kuendelea kulipwa. Hakika kamahahara katapandishwa ili washikike vizuri. Af wanapewa mafunzo mapya, waingizwe jeshini(M23).

Kwa hiyo wataongeza nguvu. Na hapo ndo ujue uzalendo wa kweli kwa wa Congo haupo, wao ni hela tu. Na wengine wakisikia mishahara huko ni mizuri, si kazi bwana eh!? Hakika watajiunga.
 
Mimi ndio maana napenda sana kiongozi dikteka, muhimu tu aweke mbele masilahi ya nchi. Upumbavu wa demokrasia na diplomasia unachelewesha sana maendeleo ya nchi
Kwa fikra zako hizo Afrika ndio ingekuwa bara tajiri sana duniani na isingekuwa kichekesho kama ilivyo leo kwa maana Africa is always the home to dictators.
 
Eti wamefanya mpango wa internet toka Rwanda, hakuna kitu kinaitwa M23 hapa duniani.., hao ni Reanda wameenda kupora madini, na wamenogeea wanataka waweke kibaraka wao permanently!
 
Kwa fikra zako hizo Afrika ndio ingekuwa bara tajiri sana duniani na isingekuwa kichekesho kama ilivyo leo kwa maana Africa is always the home to dictators.
Simaanishi awe foolish and selfish dictator kama Idd Amin. Akipatikana dikteta amaeweka mbele masilahi ya nchi mfano Putin au Gaddafi maendeleo yanakuja chap chap tu.

Kwa kesi ya Afrika kuna tatizo kubwa sana kwenye recruitment yetu ya kupata viongozi. Hata nchi ambazo hazina viongozi madikteta maendeleo yanasuasua.
 
Kwa hio kambi ya Afrika kusini imezungukwa na m23, hayo masharti sioni Kama yanaweza kukubaliwa, m23 wataenda wenyewe kukusanya miili ya wasouth na kuwakabidhi, vifaa vya MONUSCO vitataifishwa, Siku south wakituma jeshi, M 23 watawamaliza kwanza hao waliopo kambini, kwa hio wapo Kama mateka. South tumbo joto kuwaokoa sskari wao waliopo kambini.

Je, m23 wakitoa masharti ili hawa waachiliwe wanahitaji Dola kadhaa, itakuwaje, Ramafosa anahali ngumu sana.

Sasa na hawa wagogo wanaotaka kupeleka pua zao DRC sijui Kama wana taarifa za kutosha
 
Tafsiri hicho wanachoongea
 
Ni Wakongomani wanaolipwa na kusaidiwa na Rwanda ili kuendesha uasi dhidi ya serikali ya nchi yao.

M23 are Congolese citizens turned Rwandan foot soldiers.
Ni Rwandan Tutsis looting DRC minerals for Rwanda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…