OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tatizo madikteta wengi wanaua hovyo hovyo roho za kikatili. Tazama Doe, Amin, Mobutu, JPMMimi ndio maana napenda sana kiongozi dikteka, muhimu tu aweke mbele masilahi ya nchi. Upumbavu wa demokrasia na diplomasia unachelewesha sana maendeleo ya nchi
Nchi yao ni ipi?. Kuruhusiwa kurudi nyuma walipokuwa na positions za mapigano, wakusanye vipande vya miili ya wenzao ili visafilishwe kuzikwa nchini kwao.
Wa South broNchi yao ni ipi?
M23 ni watutsi wa Congo ila pia askari wa jeshi la Rwanda wapo wanapigana nao bega kwa bega dhidi ya serikali ya DrcNi Rwandan Tutsis looting DRC minerals for Rwanda..
Hiyo ni Rwanda, acheni kuficha ficha ukweli. Rwanda ni taifa la malaya wa madini kwa wazungu. Mineral bandits and prostitutes..!M23 ni watutsi wa Congo ila pia askari wa jeshi la Rwanda wapo wanapigana nao bega kwa bega dhidi ya serikali ya Drc
Tanzania kuna udiniTanzania Kwako Ukabila haupo au umekwisha? Hovyoooooo.....!!
Hilo kamwe halitawezekana. Ulaya tu hawaelewani ndani Umoja Ulaya huku kila moja akiwa na Serikali yake.Hivi kweli MUUNGANO WA AFRIKA MOJA utawezekana kweli?!
Lakini angalao wao wako organised kuliko sisi Waafrika sisi ni RAHISI SANA kugawanywa na kugawanyika.Hilo kamwe halitawezekana. Ulaya tu hawaelewani ndani Umoja Ulaya huku kila moja akiwa na Serikali yake.
Dunia hii haina watu wapumbavu kama Wacongo, vita vyao wanataka watu wengine wapigane na wafe kwa ajili yao huku wao wakikata viuno kwa kucheza mayenu kwenye vilabu vya pombe.KINSHASA wameshindwa kulinda mipaka ya DRC na kuleta amani DRC, matokeo yake wamejikita kuleta lawama kwa M23 ilihali Kinshasa nao ni mawakala tu wa mabeberu Kwa kuuza madini kutoka sehemu mbalimbali huku waCongoman wakifa njaa tu.
Dunia hii haina watu wapumbavu kama Wacongo, vita vyao wanataka watu wengine wapigane na wafe kwa ajili yao huku wao wakikata viuno kwa kucheza mayenu kwenye vilabu vya pombe.
Na Fally Pupa naUnaposema wasanii unamaanisha akina Koffi Olomide au?😁
Then ndiyo mpeleke pua zenu mkawapiganie watu wa aina hiyo, Mcongo anaangalia mshiko tu. Matapeli kwenye kila sekta, mpaka kwenye vita wanatanguliza utapeli. Acha wanyooshwe.Ni wale wanajeshi wa FARDC na wazalendo, wamepelekwa brain washing(safisha bongo).
Wanajeshi kwanza wameahidiwa kuendelea kulipwa. Hakika kamahahara katapandishwa ili washikike vizuri. Af wanapewa mafunzo mapya, waingizwe jeshini(M23).
Kwa hiyo wataongeza nguvu. Na hapo ndo ujue uzalendo wa kweli kwa wa Congo haupo, wao ni hela tu. Na wengine wakisikia mishahara huko ni mizuri, si kazi bwana eh!? Hakika watajiunga.
Wamejazana kila kona ya dunia, hawako tayari kabisa kwenda front kupambana. Msipowapigania vita vyao wananuna na kulalama, yaani mtumie resources zenu na kuweka askari wenu kwenye risks mkishinda wanufaika ni wao. Utapeli wao ni wa kiwango cha lami.Wamejaa Ufaransa, Belgium nk wamejazana hapo KInshasa na Lubumbashi wanakula bata tu.
Ule ukanda wa Katanga wote umejaa makampuni ya madini ambayo Kodi yanalipa Kinshasa na Kwa machifu huko Katanga matokeo yake wanashindwa kununua silaha na hata kumobilize askari wa kutosha huko mashariki kupambana na kitisho cha M23.
Leo wanataka Askari wetu wakafe, kuumia huku tukitumia resources zetu.
Labda uwe muhamiaji/mkimbizi wa kutoka DRC ndiyo utapingana na ukweli.Hiyo ni Rwanda, acheni kuficha ficha ukweli. Rwanda ni taifa la malaya wa madini kwa wazungu. Mineral bandits and prostitutes..!