M23 yatuma salam za uimara wake kwa vikosi vya KDF na FDNB vilivyopelekwa Congo kuthubutu kuwapokonya silaha

Haya majeshi bora yangebaki katika nchi zao kulinda mipaka yao, kuliko kwenda Congo kujivinjari na chuchuz za kikongo.
 
Mkuu UN wanalinda raia sio M23.
Kama hujawahi kwenda Congo mission ndio unaweza kusema hivo.
Huoni hadi wacongo wameshituka hawawataki hao askari wa UN.
Hata sudani ni hivo hivo waasi gani wanavaa ndala lakini wanaisumbua serikali!?
UN ndio wanaochagua silaha gani mtumie na saa ngapi muwashambulie.
Juzi tu jeshi la Congo limeenda kuwafuata hao waasi jeshi la UN likakaa katikati ety linazuia mapigano mpaka likafurushwa na raia.
Wakati askari wa tz wanapigwa ambush Congo UN ndio ilikuwa imetoa order mizinga yote ilirudi nyumbani baada ya kurudisha tu wakapigwa ambush.
 
Unasifia kufa raia wasio na hatia,mafunzo ya kijeshi? Ndio iwe salamu kweli?
 
Sasa kama Burundi na Kenya wametuma majeshi yao, lakini majeshi hayo yameshindwa kuingia nao vitani unafikiri ni nani m'babe wa vita hivyo?


Huwa nasema, vijana wengi kichwani wamejaza funza badala ubongo. Oya jamaa mbona unakuwa mpumbavu kirahisi namna hiyo aisee???

Inamaana hujui kama vita inakuwa na mpangokazi (plan), mtaani tunaita RAMANI YA VITA!!??

Idd Amin Dada alipovamia Tz baada majeshi kuamriwa kuingia vitani, PLAN NZIMA YA AWAMU YA KWANZA YA VITA KUMMG'OA ADUI NCHINI ilichukua WIKI 3. Imagine Adui yupo nchini lakini inachukua wiki 3 kuandaa mpangokazi wa vita.

Sasa kama nchini mwako inachukua muda huo kukamilisha mpangokazi wa vita, wewe ulitaka KDF na jeshi la Burundi wafike tu Kongo na kuingia frontline muda huo huo???

Oya jamaa vita sio football au komborera jamaa!!!
 
Mwambie uyu?
haelewi lolote.?
Hajui kazi ngumu ua ni kuplani/kudraft mpango kazi wa vita.
 
Bila raisi Samia kuombwa aruhusu TPDF kushiriki katika oparation hiyo, basi hakuna kitakachofanyika.

Ukitoa jeshi letu TPDF ambalo hata M23 wenyewe wanaliogopa baada ya kuwapa kichapo kikali mwaka 2013, hakuna jeshi lingine la Afrika Mashariki lenye nguvu, maarifa na mbinu za kuwadhibiti vijana hao.
 
wangetumwa watanzania, wangemaliza kazi.
 
Wakenya waliingia Congo na mikwara, ila sasa hivi wako kimya utafikiri wamemwagiwa maji ya baridi ya asubuhi.
Ww mpummbaf Sana,hao watu 50 waliouwawa ni watoto na wanawake, mbona wasiende kwa wenzako,? Alafu unawasifia! Jinga ww.
 
Watz bhna..yani m23 wa 2014 ndio m23 wa 2022..karagabao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ww mpummbaf Sana,hao watu 50 waliouwawa ni watoto na wanawake, mbona wasiende kwa wenzako,? Alafu unawasifia! Jinga ww.
Sasa majeshi ya Kenya na Burundi yapo Congo kufanya nini? Au kula bata na kina fally pupa?
 
Twende na hash tag # Saidia Congo. Ni Waafrika wenzetu wanaumia. Sio jambo la kufurahia kwa mwanaume aliokamilika.
 
M23 sio imara....their end and their helper is near...au wewe ndio msemaji....

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…