Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna habari kinachofanyika hapo KIBUMBA na maeneo ya RUTSHURU kwa sasa? M23 kwa nini wanaomba mazungumzo kwa sasa? Na kuna taarifa Jwtz Special Operation Force imeombwa kuingia mzigoni. Panya lazima achomolewa kunyumba mpaka kwenye shimo lake.Kwahiyo mpaka leo bado kdf wanapanga plan tu?
Lengo kuu la M23 kuanzisha vita na serikaki ni kutaka kuishinikiza au kuilazimisha serikali ya Congo isikilize na kuyafanyia kazi madai yao.Huna habari kinachofanyika hapo KIBUMBA na maeneo ya RUTSHURU kwa sasa? M23 kwa nini wanaomba mazungumzo kwa sasa? Na kuna taarifa Jwtz Special Operation Force imeombwa kuingia mzigoni. Panya lazima achomolewa kunyumba mpaka kwenye shimo lake.
Jeshi la kenya limejitahidi sana Somalia . Hata hao Burundi .Wakati mwingine tusilete stori za kwenye kahawa. Kenya Wana jeshi zuri sema hawakupeleka ASKARI wengiLengo kuu la M23 kuanzisha vita na serikaki ni kutaka kuishinikiza au kuilazimisha serikali ya Congo isikilize na kuyafanyia kazi madai yao.
Sasa kwa vile serikali na umoja wa Afrika na umoja wa mataifa wanaitaka M23 isitishe vita kwa ajili ya kuangalia namna ya kufanya mazungumzo na serikali basi ndio maana M23 wakaamua waache kwanza kuendelea kushambulia askari wa Congo ili kuipa nafasi serikali ijitathimi na kuyafanyia kazi madai yao.
Endapo serikali itakaidi kuwasikiliza basi nakuhakikishia vita haitoisha eneo hilo na hao wanajeshi wa Kenya hawatofanya lolote kuwatoa hao jamaa.
At least jeshi la Tanzania ndio lipo vizuri katika mapambano ya aina hii, lakini hizo nchi zingine hakuna kitu na M23 hawaziogopi maana wanazijua vizuri udhaifu wao.
Mkuu UN,AU even EAC walishawaomba wafanye mazungumzo ila wamekaidi, sasa wajaluo toka Kenya wanapeleka moto mpaka wanaomba mazungumzo, usiwadharau Kdf mkuu, endapo safari hii vijana wetu Jwtz special Commando team ikiingia mzigoni kama inavyoombwa ni hakika Panya atatolewa.shimoni.Lengo kuu la M23 kuanzisha vita na serikaki ni kutaka kuishinikiza au kuilazimisha serikali ya Congo isikilize na kuyafanyia kazi madai yao.
Sasa kwa vile serikali na umoja wa Afrika na umoja wa mataifa wanaitaka M23 isitishe vita kwa ajili ya kuangalia namna ya kufanya mazungumzo na serikali basi ndio maana M23 wakaamua waache kwanza kuendelea kushambulia askari wa Congo ili kuipa nafasi serikali ijitathimi na kuyafanyia kazi madai yao.
Endapo serikali itakaidi kuwasikiliza basi nakuhakikishia vita haitoisha eneo hilo na hao wanajeshi wa Kenya hawatofanya lolote kuwatoa hao jamaa.
At least jeshi la Tanzania ndio lipo vizuri katika mapambano ya aina hii, lakini hizo nchi zingine hakuna kitu na M23 hawaziogopi maana wanazijua vizuri udhaifu wao.
jeshi la kenya limejitahidi nini somalia? limesambaratisha al shabab au? unaongea nini wewe?Ok nimekuelewa mkuu!
Wingi wa Askari sio ndo uimara ,NI uwezo wa kuhimili battle.una risasi 30 kwa magazine ,man down wangapi umelenga!!? unaweza kuwa na 30 bullets halafu umelenga zote hewa !!wakati opponent wako akikosa moja ya pili man down.Jeshi la kenya limejitahidi sana Somalia . Hata hao Burundi .Wakati mwingine tusilete stori za kwenye kahawa. Kenya Wana jeshi zuri sema hawakupeleka ASKARI wengi
Kwa JW ya 2013 ndio JW ya 2023 we paka coco?..Watz bhna..yani m23 wa 2014 ndio m23 wa 2022..karagabao.
#MaendeleoHayanaChama
wewe m2si akili yako fupi au ndefu,mbona unaelekea kuwashabikia m23???????????????????,,,,,sasa ngoja siku JWTZ alipelekwe huko ndo utajua!!!!!!,,,,,kenge wewe!Za asubuhi wakubwa, weekend inaendeleaje?
Leo nawaletea muendelezo wa kile kinachojiri huko Congo katika oparation ya jeshi la kanda yetu hii ya EAC. Oparation hii mahsusi imebuniwa kwa lengo la kuwapokonya silaha waasi wote waliopo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ila walengwa haswa wa oparation hii ni wale vijana walioshiba mafunzo ya kijeshi, wenye weledi wa kupambana na adui mchana au usiku, angani au ardhini, vijana hawa sio wengine bali ni lile kundi imara la waasi wa M23.
Kabla oparation hiyo haijapangwa, viongozi wa nchi zetu za maziwa makuu walitoa kwanza siku maalum na saa kwa makundi hayo kusalimisha silaha zao wenyewe, kuachia maeneo yao (walioyateka) na kusubiri michakato mingine ya kisheria itakayofanywa kwa waasi hao.
Baada ya kumaliza kutoa tamko hilo la kusalimisha silaha, ndipo viongozi wa nchi hizo wakatuma majeshi yao Congo kwa ajili ya kwenda kuwawajibisha waasi wote watakaokaidi kutii agizo hilo la serikali na nchi za maziwa makuu.
M23 ambalo ndio kundi imara na hatari kwa majeshi yaliokwenda huko, lilikaidi maagizo hayo na kusubiri kuona ni nini kitachofanywa na vikosi hivyo vilivyodai kwamba vinakwenda kusafisha uasi katika nchi hiyo ya pili kwa ukubwa barani Afrika.
Juzi M23 imefanya oparation zake inazofanyaga kila siku na kupelekea watu 50 kufariki dunia. Hii ni salam ya dhahiri kwa vikosi hivyo vya Burundi na Kenya vilivyopelekwa huko eti kujaribu kuwapokonya silaha 'wanajeshi' wenzao, kama vile mtu anapojaribu kumpokonya mtoto wake pipi.
Kifupi ishaonesha kuwa M23 ni maji marefu ndio maana kdf na fdnb wanashindwa kuthubutu kuingiza miguu katika maji yao (maeneo yao) wasije wakazama mazima ikawa aibu kwao na kwa nchi zao.
Ushauri wangu ni kuitaka serikali mpya ya Congo iangalie namna bora ya kuongea na kundi hili kwa mara ya mwisho kwa lengo la kuleta amani maeneo hayo. Ikishindikana ndio nguvu kubwa na ya pamoja itumike. Ila kuyategemea majeshi haya ya Burundi na Kenya kuleta amani ni kupoteza muda bure, maana hawana uwezo hata waku deal na mayi mayi achilia mbali vijana hatari wa M23.