M23 yatuma salam za uimara wake kwa vikosi vya KDF na FDNB vilivyopelekwa Congo kuthubutu kuwapokonya silaha

Well said!
 
Mpuuzi tu wewe, hakuna mtz anayeshabikia Congo kuteseka, tunaona nyuzi humu wewe ni mnyarwanda.
Mbona umekuwa mkali ghafla mkuu au wewe ni mayi mayi?
 
We Tutsi jinga jingine kama popoma Gentamycine mnaopenda kumshabikia Kagame kwa kila kitu.
Tujadili hoja iliyopo, sio tujadili makabila ambayo nchini kwetu Tanzania hayapo.
 
Kwanza, napenda kukujulisha kuwa hizo jitihada unazozisema zimefanyika mara nyingi bila mafanikio. Hii vita ni ya siku nyingi na mapatano mengi yamefanyika bila mafanikio. Tatizo kubwa ni pale nchi zenyewe za EAC zinahusika katika kufadhili hii vita. Hii vita inapigana ndani na nje ya Congo. Ndani ya Congo wanahusika M23. Nje ya Congo inahusika Rwanda na Uganda. Hii siyo vita ya kawaida ya kisiasa bali ni vita ya kiuchumi, kikabila, na kimataifa. Hii ni vita ya kiuchumi kwa sababu chaos inayoletwa na vita inazipa Rwanda na Uganda nafasi ya kupora madini kupitia mauzo holela. Kwa wale vijana wa zamani kama mimi, nadhani mliwa kusikia malori ya dhahabu yaliyochukuliwa na Obote wakishirikiana na Iddid Amini enzi hizo. Hiyo dhahabu mpaka leo inaozea Uswissi, kwa sababu enzi hizo mkiweka pesa Uswissi kuzichukuwa mpaka mtie sahihi. Mkigombana, kama vile Iddi Aminbi alivyogombana na Obote (mapinduzi), ina maana hamtaweza kuzichukuwa tena.

Hii vita ni kikabila, kwa sababu wapiganaji (Banyamulenge) ni Wakongo Wanyarwanda. Nafikiri wote tunajuwa makabila yetu yalivyogawanyika kwa kufuata ramani za ukoloni. Utakuta Wakurya wako Kenya na TZ. Utasikia eti kunda Baganda Kyaka n.k. Hivyo ndivyo ilivyo huko Congo. Lakini inasemekana ni kama Congo haiwatambui Banyamulenge kama Bakongoman (sina uhakika kama ni kweli). Hili ndilo linaleta hiyo vita. Hii vita ni ngumu kwa sababu hakuna "strong specific objective". Lakini huu mlolongo wa matsatizo ulianza enzi za uhuru wa Congo.

Hii vita ina sura ya kimataifa kwa sababu sidhani ingeweza kuendelea mpaka leo bila Rwanda kujihusisha katika kutoa misaada ya hali na mali. Washauri nja walimu wakuu wa M23 ni Rwanda au jeshi la Rwanda. Ile vita ya M23 Congo ni vita ya Rwanda na Congo. Rwanda wakiacha kuipa msaada, hiyo vita inaisha baada ya siku moja
 
Mimi ni raia wa Tanzania, sina masilahi yoyote na kile kinachoendelea Congo.
Unaweza ukawa raia wa TZ mwenye asili ya Kitusi. Watusi, ni kama Wayahudi, wao Utusi kwanza mengine baadaye. Mimi nilikuja kushangaa wakati Kagame anachukuwa madaraka ni vijana wangapi wenye digrii waliyosoma kwa pesa za walipa kodi TZ walikimbilia Rwanda na kuanza maisha mapya kama Wanyarwanda huko Rwanda. Hii inanikumbusha wakati nikiwa Makerere. Kulikuwa na Wahidi waliyokuwa wanasomea udaktari, Iddi Amini alipowafukuza Wahindi, wale Wahindi wa TZ walijichanganya na kuomba hifadhi Canada. Wote waliyondoka, hii inaonyesha jinsi mguu mmoja ulivyokuwa TZ na mwingine nje.
 
Hiki kikundi hakipigani na askari, wao kazi yao kubwa ni kuvizia raia na kuwaua. UN wamemaliza pesa za UN wako huko huku hakuna ahueni inayopatikana. Wao wanadai wanalinda amani, hawakwernda kupigana, lakini kila kukicha wanazoa mishahara na marupurupu yaliyojaa damu za Wakongo.
 
Kwanini kila anaongelea hili swala huitwa mtusi, mnyarwanda nk? Je kuwa mtusi ndio kuwa adui wa watu wote au sababu ni nini mkuu?
Wewe mmoja hufanyi wingi.
 
Msemaji wa m23 kaa kwa kutulia dawa bado haijaingia vizuri.. Kuua raia 50 ambao sio wanajeshi ni Sawa mwanaume kumpiga mwanamke alafu ukajisifu
 
Wametuma salamu Kwa kuwaua watu wasio na hatia?wanaakili kweli?
 
Wewe ni mpuuzi sana. Vita sio kuingia kichwakichwa...kuna plan, mpango kazi na mikakati, vita sio kama unatawanya maandamano ya Chadema wewe Mnyarwanda.Pumbavu.
 
Mpuuzi tu wewe, hakuna mtz anayeshabikia Congo kuteseka, tunaona nyuzi humu wewe ni mnyarwanda.
Hali ya wanna Rwanda ni mbaya sana, hata walioko Kigali wanajua kuwa hatima yao haifahamiki: wazee wanajua kabisa kuwa jeshi la kongo likilianzisha hata salia mnyarwanda hata mmoja
Your browser is not able to display this video.
 
Hali ya wanna Rwanda ni mbaya sana, hata walioko Kigali wanajua kuwa hatima yao haifahamiki: wazee wanajua kabisa kuwa jeshi la kongo likilianzisha hata salia mnyarwanda hata mmoja
View attachment 2437604
Na huu uvuguvugu wa Rwanda na Congo, ndani ya miaka kadhaa kuanzia sasa vitapigwa rasmi. Rwanda anaogopa hii vita sababu anajua yeye ana mshirika mmoja tu, Uganda. Congo ana backup kubwa ya SADC. UG anaweza akawa ni threat kutokana na zile Sukhoi zake SU 30.
 
Hata Rwanda na Uganda wana urafiki wa mashaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…