M23 yatuma salam za uimara wake kwa vikosi vya KDF na FDNB vilivyopelekwa Congo kuthubutu kuwapokonya silaha

Wewe ni mpuuzi sana. Vita sio kuingia kichwakichwa...kuna plan, mpango kazi na mikakati, vita sio kama unatawanya maandamano ya Chadema wewe Mnyarwanda.Pumbavu.
Kwahiyo mpaka leo bado kdf wanapanga plan tu?
 
Kwahiyo mpaka leo bado kdf wanapanga plan tu?
Huna habari kinachofanyika hapo KIBUMBA na maeneo ya RUTSHURU kwa sasa? M23 kwa nini wanaomba mazungumzo kwa sasa? Na kuna taarifa Jwtz Special Operation Force imeombwa kuingia mzigoni. Panya lazima achomolewa kunyumba mpaka kwenye shimo lake.
 
Lengo kuu la M23 kuanzisha vita na serikaki ni kutaka kuishinikiza au kuilazimisha serikali ya Congo isikilize na kuyafanyia kazi madai yao.

Sasa kwa vile serikali na umoja wa Afrika na umoja wa mataifa wanaitaka M23 isitishe vita kwa ajili ya kuangalia namna ya kufanya mazungumzo na serikali basi ndio maana M23 wakaamua waache kwanza kuendelea kushambulia askari wa Congo ili kuipa nafasi serikali ijitathimi na kuyafanyia kazi madai yao.
Endapo serikali itakaidi kuwasikiliza basi nakuhakikishia vita haitoisha eneo hilo na hao wanajeshi wa Kenya hawatofanya lolote kuwatoa hao jamaa.
At least jeshi la Tanzania ndio lipo vizuri katika mapambano ya aina hii, lakini hizo nchi zingine hakuna kitu na M23 hawaziogopi maana wanazijua vizuri udhaifu wao.
 
Jeshi la kenya limejitahidi sana Somalia . Hata hao Burundi .Wakati mwingine tusilete stori za kwenye kahawa. Kenya Wana jeshi zuri sema hawakupeleka ASKARI wengi
 
Mkuu UN,AU even EAC walishawaomba wafanye mazungumzo ila wamekaidi, sasa wajaluo toka Kenya wanapeleka moto mpaka wanaomba mazungumzo, usiwadharau Kdf mkuu, endapo safari hii vijana wetu Jwtz special Commando team ikiingia mzigoni kama inavyoombwa ni hakika Panya atatolewa.shimoni.
 
Jeshi la kenya limejitahidi sana Somalia . Hata hao Burundi .Wakati mwingine tusilete stori za kwenye kahawa. Kenya Wana jeshi zuri sema hawakupeleka ASKARI wengi
Ok nimekuelewa mkuu!
 
jeshi la kenya limejitahidi nini somalia? limesambaratisha al shabab au? unaongea nini wewe?
Hii ni baada ya Marekan kutumia ndege zisizokuwa na rubani kuwadhoofisha alsha bab. Otherwise Kenya isingeweza kutoka salama.
 
Jeshi la Kenya lililopelekwa nchini Congo linatia aibu kwa kushindwa kuwadhibiti vijana wa M23.
 
Attachments

  • Screenshot_20230127-200538.jpg
    78.8 KB · Views: 5
Jeshi la kenya limejitahidi sana Somalia . Hata hao Burundi .Wakati mwingine tusilete stori za kwenye kahawa. Kenya Wana jeshi zuri sema hawakupeleka ASKARI wengi
Wingi wa Askari sio ndo uimara ,NI uwezo wa kuhimili battle.una risasi 30 kwa magazine ,man down wangapi umelenga!!? unaweza kuwa na 30 bullets halafu umelenga zote hewa !!wakati opponent wako akikosa moja ya pili man down.
 
wewe m2si akili yako fupi au ndefu,mbona unaelekea kuwashabikia m23???????????????????,,,,,sasa ngoja siku JWTZ alipelekwe huko ndo utajua!!!!!!,,,,,kenge wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…