M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

Shida ya hii vita iko at our door steps, ni security threat, either tu deal nayo leo or in the future tuingie kwneye conflict kubwa zaidi
This is not true mkuu,sisi tunatakiwa to hold our line basi (tulinde borders zetu),tumejitolea sana hapa Africa na hakuna tulichokipata,tumejitia umasikini tu,wale soldiers wetu walitakiwa wafe wakipigania Tanzania
 
Naunga mkono Hoja 😍🙏🏼
 
Exactly kbsa lipo jeshi la Malawi ,south Africa ,na Tanzania pmj na munisco ,frdc
 
Kitu kisicho julikana Jeshi la SADEC limezuiwa kupiga vita na American
Jeshi la SADEC wanatoa msaada tu vifaa

Baada ya Jeshi la Tanzania kufanya mashambuliza , M23 wakapeleka malalamiko UN kwa kuandika barua.
Maamuzi yalifanyika SADEC wamezuiawa kupigana Vita
 
Too late
 
We jamaa unachopinga nini hasa mbona hueleweki?

Ukweli ni kuwa Watanzania Watatu wamefariki.
 
Tokea mwanzo Mandate ya SADC Force ilikuwa ni ya kimagumashi na ni rahisi kwa FLDR kuchukua advantage na kujikuta Jeshi letu likipigana Bega kwa Bega na Interahamwe Millitias.

Kwasababu "Wazalendo" Millitia, ni Interahamwe in disguise.
 
R.I.P. makamanda wetu, M23 ni cha mda mrefu, kunawatu wanachichea ili waendelee kuchota mali. Wa Congo inabidi waelewe hili amani hailetwi na mtu wa nje
Wenyewe wako Bize na Brand Mpya Mpya za Albam zinazobamba kwa Rumba Music.

Huo Ufaransa wanapiga show za kibabe sana.


Nina wasi wasi wanamusic wa Kongo ni wanajeshi wanaopigana vita kisaikolojia kwa ku diverge mind za wa Kongo.
 
Wapumzike kwa amani wanajeshi wetu,lakini hakuna jinsi hii vita inatuhusu sana tu.Hakuna kurudi nyuma na wawape majibu mazito kwa unyama huo.Serikali iwaangalie sana hawa jamaa wa Rwanda ndani ya Tanzania siyo watu wazuri kabisa.Nategemea SADC nao wanajuwa nini cha kufanya kwa hao M23.
 
Wanyarwanda walikuwa ni watu wa kupelekwa mchakamchaka tu ndani ya tanzania.Jamaa siyo watu wazuri kabisa na wana kinyongo na kisirani.Alafu ndiyo wapo kibao bongo,hao jamaa inabidi tuwasulubu tu maana hakuna jinsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…