M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

Ndio maana EAC Force ilitaka kuweka Dialogue mbele kwanza ila huyo Raisi wa Kongo alikuwa anaongea tough talking wakati hana Jeshi kwa lengo la kupata kura.

M23 walikuwa wameanza kuliamini Jeshi la EAC na huu mgogoro ungeishia Mezani.
 
Ushauri umekuwa watolewa kwamba ni lazima madai ya M23 yasikilizwe.

Huu mgogoro si wa kuuingilia kichwakichwa ni lazima kuwe na stratejia ya kueleweka.
 
We ni mpumbavu na idiot. Wanajeshi wameuawa na waasi wewe unalazimisha ni Rwanda. Very stupid.
 
Acha kupika maneno. Usipende kuropoka kwenye mambo usiyoyajua.
 
Hapo ni vitani. Anauawa yeyote.
Unauwa watu ambao awakushambulii.

Given the timing of the attack hiyo inaweza tafsiriwa kama ni retaliation tu dhidi ya kiongozi wao aliekamatwa Tanzania na kupelekwa Congo.

Kwa maana nyingine ni direct attack dhidi ya Tanzania, sasa a proportionate response inahitajika dhidi ya M23. Kutopeleka kichapo ni kuwaaminisha wanauwezo ata wakupiga ndani ya Tanzania na kuachwa.
 
SADEC wamezuiawa kupigana vita huko na mashambulizi ya ndege pia yapigwa marufuku
Lile shambulizi la Jeshi la Tanzania kuwapiga M23, M23 wakaandika barua UN na America naye akaingilia SADEC wakazuiawa kupigana Jeshi la SADEC lipo kati miji ya Sake na Goma hawatoki kwenye hiyo Miji
Wanatoa vifaa kwa jeshi la Congo
 
Ila aibu SADC nchi zote hizo wanapigana na kikiundi kimoja Cha Banyamulenge.
Wanauwezo wakupigana na SADC kama wangekuwa wanashambulia.

Mind you SADC hipo combat ready huko (maana yake wana kila zana ya kupigana wakiamua) anytime wanaweza kukinukisha wakitaka.

M23 hawajui mipaka yao, ni uchokozi mkubwa sana kuuwa askari wa nchi nyingine; unawapa uhalali wa kujilinda hata kama lengo ni peacekeeping.
 
Wakati M23 wanalalamika kushambuliwa na Jeshi la SADC si mlifurahia, Leo kajibu mapigo mnaanza kulalamika. Tupunguze unafiki.
 
Acha propaganda wale wapo kule kusaidiana na FDLR kupambana na Banyamulenge
 
Acha propaganda wale wapo kule kusaidiana na FDLR kupambana na Banyamulenge
Subiri kichapo cha SADC kianze ndio utajua tofauti ya peacekeeping na combat.

Sasa hivi utasikia M23 imeachia maeneo na Kagame analia huko SADC waondoke.

Kagame mwenyewe ameshaanza kujiami na story ndefu za historia ya M23 anajua nini kinafuata ukishambulia askari wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…