Tetesi: M23 yawakamata Hackers kutoka Afrika Kusini

Tetesi: M23 yawakamata Hackers kutoka Afrika Kusini

Acha hofu, au wewe ni mkimbizi?
Mtanzania HALISI Mkononi Nina ndui.

Vita ya Uganda TU mpaka Leo imeligharimu taifa.

Na CDF MUHOZI ANATAMANI KITU KWA PRIDE YA UGANDA.

Sikuizi kuwa na jeshi kubwa interms ya manpower isikufanye ukaona sisi ni wababe.

Sikuizi vita vinapiganwa kwa SCIENCE AND TECHNOLOGY sio Tena Kama enzi za Karne 19
 
Ile midege ya South Africa ya makaburi waungane na makomandoo wa Tanzania na wahutu wa Burundi waamue kwa dhati,, wakianza asubuhi kufikia jioni tu, wanakunywa chai ndani ya sebule ya ngongoti, yule nyonya damu Kagame.
Huyu mtoto amekuwa analilia wembe tangu vita ya kwanza ya Congo, SA waungane nasi tumpeee.
 
Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma.

Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda.

Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO.

Vyombo vya usalama na Intelijensia ya M23,iliweza kuwakamata na mpaka sasa, wapo mikononi mwao.
Propaganda
 
Uislamu ni kero duniani, kule Kibiti mliua kwa nia ipi, Msumbiji mpaka leo mnaua tu, Nigeria, Chad, Somalia, DRC kila popote hiyo dini imegusa ni mauaji na kuchinja watu.
Mohamed mwenyewe muasisi wa uislamu aliisambaza kwa kutumia upanga na mauaji, mnafanya mavitu yanayo mshangaza shetani
Waislam ni kama ndio walimuumba Shetani. Wanamzidi kwa uovu,
 
Watakuwa ADF wale waasi WA Uganda.
Museveni ana jeshi congo Kwa ajili yao.
hilo ni jeshi la mu7 ni namna yake ya kuchuma congo, haingii akilini kundi tunaloaminishwa ni pinzani kwa uganda na serekali yake alafu lianze kuuwa wa congo, unachana bendera ya congo. eti Kaguta ndo anaingiza jeshi congo kwenda kulisaka!
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Mtanzania HALISI Mkononi Nina ndui.

Vita ya Uganda TU mpaka Leo imeligharimu taifa.

Na CDF MUHOZI ANATAMANI KITU KWA PRIDE YA UGANDA.

Sikuizi kuwa na jeshi kubwa interms ya manpower isikufanye ukaona sisi ni wababe.

Sikuizi vita vinapiganwa kwa SCIENCE AND TECHNOLOGY sio Tena Kama enzi za Karne 19
huyo muhoozi alikosa malezi, mwenye upungufu wa EI kubwa sana. namwona akifia front line kwa kutaka ku deliver vitu vikubwa bila kuangalia uhalisia.
 
Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma.

Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda.

Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO.

Vyombo vya usalama na Intelijensia ya M23,iliweza kuwakamata na mpaka sasa, wapo mikononi mwao.
Embu Acha kupamba, Yaan Rwanda Una mfumo gani WA ulinzi mpaka WA hack!
 
Acha kuizarau Rwanda mkuu
Jamaa wapo vizuri tusijivunia jografia ya kimaeneo
Jamaa wamejipanga wana silaha nzito na mafunzo ya kutosha
Sisi tuendelee na maombi viwanja vya Leaders
Weee inaonekana ni mwenzao kutoka pale Ngara au???
 
Eti hawa ndio miongoni mwa wanajeshi wa Afrika Kusini.

🤣🤣🤣 watu wenyewe hata kushuka kwenye basi wanashuka kwa tabu kama Diamond alivyoshuka kwenye ndege akitembea!

Ndio maana wengine wamerudi SA wakiwa wajawazito.

Kwasasa hatutaki shida wananchi..Kama vipi Ma CDF wazichape tu wenyewe ajulikane mbabe,Au Mazaa azichape na PK.
 
Back
Top Bottom