Ma-expert wa bible msaada kidogo kunifafanulia hili

Hiki kitabu kimeandikwa na watu enzi za ujinga.

Hiyo standard unayoitumia no ya dunia ya leo iliyoelimika zaidi kuhusu mahusiano ya kijinsia.

Obviously utashindwa kuelewa rationale ya biblua, ambayo ni keamba, mwanamke kupewa nafasi ya kuolewa ni kitu muhimu kuliko amani ya mwanamke kukaa katika ndoa na mtu anayempenda.

The bible is a very chauvinistic book, why, wven god is a man!

So why should women have any rights in such a book?

Just goes to show how very human the bible is.
 
Mkuu,hivi wakati wa Yesu Israeli ilikuwepo kweli?

Na aliposema "kondoonwaliopotea wa nyumba ya Israeli" alikuwa anamaanisha nini?

Geographical location ya Taifa la Israel imeandikwa vizuri kabisa kwenye Biblia, Hii tunayoita Israel leo sio Israel complete ni kabila moja tu la YUDA labda na masalia ya Kabila la LEVI.

Kabila zinginge zilikuwa zimejipoteza zenyewe kwa sababu ya kutotii SABATO ZA MUNGU. So Israel has always been there, na ndo maana Yesu alisema wakafundishwe hao kwanza.
 
God is resourceful and omnipotent, why should God start with them only and leave other nations or tribes in the dark for thousand of years?
 
I am not the expert, but would like to share my view. Unajua Biblia iliandikwa na watu, na watu walioandika walioandika in some setting. Kwa hiyo in a way they had cultural influence and in a way lacked objectivity.

Inawezekana kwa wakati huo ubakaji ulikuwa kawaida, labda ilikuwa chagulaga style, lakini ni kweli hadhi ya mwanamke ili kuwa below human.

Uzuri ni kuwa ukristo una evolve, haubaki nyuma, unakwenda na wakati.Sidhani kama leo kuna mkristo yoyote anaywezea kujustify ubakaji kwa kutumia kifungu hocho cha biblia.
 
You don't know how to read. 7 Jesus answered him, "It is also written: 'Do not put the Lord your God to the test.' "

Which God was the Devil tempting?
 
You don't know how to read. 7 Jesus answered him, "It is also written: 'Do not put the Lord your God to the test.' "

Which God was the Devil tempting?

Unaulizwa A unajibu B. Mimi nina-refer kwenye posting YAKO MWENYEWE ambayo inasomeka kama ilivyo hapa chini;

By Ishmael

"8 Again, the devil took him to a very high mountain and showed him all the kingdoms of the world and their splendor.9"All this I will give you," he said, "if you will bow down and worship me."

Nimekuuliza NI KAWAIDA SHETANI KUMSAFIRISHA MUNGU MKUU (1TITO 2:13) TOKA POINT A HADI B? Ukizingatia Huyo Mungu alishamlaani Shetani? wewe unahamia aya ambayo hujaulizwa wala hukui-post. Jibu swali.

At last naanza kucheka. Ghafla hutukani watu!!!
 
Which God was the Devil tempting?
 
Which God was the Devil tempting?

am waiting for your description. do you have any qualms that the passenger (in Mathew) to the high mountain was "supreme god"(1TITO 2:13)?

Swali ni dogo sana. Jee ni kawaida Shetani kumsafirisha na hata kumshawishi "mungu mkuu"?

kama ulivyoandika Mwenyewe

By Ishmael

"8 Again, the devil took him to a very high mountain and showed him all the kingdoms of the world and their splendor.9"All this I will give you," he said, "if you will bow down and worship me."

Kuna ma-bus ya Mombasa-Dar yameandikwa "UTAELEWA TUU"
 
Are you scared of answering my question or now you know here exactly am I going? My question is not in Greek.

When Jesus said: THOU SHALL NOT TEMPT THE LORD YOUR GOD?

1. Who was the Devil tempting?

2. Which God was the Devil tempting?

3. Which God was Jesus referring to?
 
I read in 1TITUS 2:13; 13looking for the blessed hope and the appearing of the glory of our great God and Savior, Christ Jesus.,

are you in denial of this verse?

If not, then answer the question you are struggling to avoid; is it Logical for a DEVIL to Take a Supreme God from point A to B or even TEMPT a God?

Ntuzu, help this guy out. He is "playing a fool"
 
Last edited by a moderator:
When Jesus said: THOU SHALL NOT TEMPT THE LORD YOUR GOD?

1. Who was the Devil tempting?

2. Which God was the Devil tempting?

3. Which God was Jesus referring to?
 
When Jesus said: THOU SHALL NOT TEMPT THE LORD YOUR GOD?

1. Who was the Devil tempting?

2. Which God was the Devil tempting?

3. Which God was Jesus referring to?

Ishmael, since your faith teaches you that the passenger in this verse you posted is a God, It is time somebody told in black and white that God can not be transported nor be tempted by Satan. WAKE UP from your SLUMBER. Bye;

By Ishmael

"8 Again, the devil took him to a very high mountain and showed him all the kingdoms of the world and their splendor.9"All this I will give you," he said, "if you will bow down and worship me."
 
Last edited by a moderator:
Ishmael, since your faith teaches you that the passenger in this verse you posted is a God, It is time somebody told in black and white that God can not be transported nor be tempted by Satan. WAKE UP from your SLUMBER. Bye;
When Jesus said: THOU SHALL NOT TEMPT THE LORD YOUR GOD?

1. Who was the Devil tempting?

2. Which God was the Devil tempting?

3. Which God was Jesus referring to?

YOU MAY ASK ALLAH OR MUHAMMAD OR JIBRIL TO HELP YOU.

Last edited by a moderator:
God is resourceful and omnipotent, why should God start with them only and leave other nations or tribes in the dark for thousand of years?

Every person who has ever tested life has equal opportunity before God. God has his grand plan for everyone including you and I. A plan that we may all live eternally in the same dwelling with him.

Be patient and see how things will be unfolding a couple of years to come.
 
Kwa mkono wako Uli-post hivi

By Ishmael

"8 Again, the devil took him to a very high mountain and showed him all the kingdoms of the world and their splendor.9"All this I will give you," he said, "if you will bow down and worship me"

Ghafla wewe tena;

When Jesus said: THOU SHALL NOT TEMPT THE LORD YOUR GOD?

1. Who was the Devil tempting?

2. Which God was the Devil tempting?

3. Which God was Jesus referring to?

YOU MAY ASK ALLAH OR MUHAMMAD OR JIBRIL TO HELP YOU

Sikujua najadiliana na "mgonjwa". Consult the nearest psychiatrist uanze CLINIC !!!!
 
kiranga amemblacklist huyu jamaa maaan he is such a dumba.ss haelewi kitu linakuja na mavitu ya kukariri, kiungwana ktk fair argument ukiulizwa unajibu alafu na ww ndo unauliza sasa badala ya kujibu swali aliloandika yy mwenyewe anaanza kuleta kona kona!!!!!
 
nikifafanulie kidogo ndugu,agano la kale lilikuwa kabla ya yesu kuja na agano jipya baada ya yesu kuja,haikuwa ya waisraeli peke yake,na yesu hakuja kutangua torati bali kuitimiliza,kwa maana hiyo maagano yoye bado yapo valid na yapaswa kufwatwa bila kupindisha
 
usivunjike imani ndugu biblia iko sawa kbisa ni kutafuta maelezo sahihi pale ambapo unaona huelewi kwanza ufahamu kuwa agano la kale lina mapungufu ndio maana likaja agano jipya bibkia yenyewe inasema hivyo pili kuhusu hilo jambo wenzetu zamani walikuwa wanaoa bikra kama msichana si bikra haolewi.kwa hiyo ndipo wanasema ikitokea amebakwa inabidi alipe faini na lazima amuoe maana huyo binti hata olewa na mtu yoyote kwa hiyo wakawekeana utaratibu huo na kumbuka enzihzo mambo ya magereza hayakuwepo kwa hiyo kila jamii iliamua ustarabu wake jinsi ya kuishi.
 
Geographical location ya Taifa la Israel imeandikwa vizuri kabisa kwenye Biblia, Hii tunayoita Israel leo sio Israel complete ni kabila moja tu la YUDA labda na masalia ya Kabila la LEVI.
Kwanza nikusahihishe mkuu,makabila yanayounda taifa la Israeli la leo ni Yuda na Benjamin pekee japokuwa hata hivyo hakusha ushahidi wa kuthibitisha hili na badala yake kuna ushahidi wa kuonesha hawa wala sio Wayahudi

Pamoja na hilo nilichokuuliza mkuu ni kama wakati wa Yesu kulikuwa na taifa linaloitwa Israel,na sijaona kama umenijibu hili,nakuomba unijibu tafadhali mkuu ...
Kabila zinginge zilikuwa zimejipoteza zenyewe kwa sababu ya kutotii SABATO ZA MUNGU. So Israel has always been there, na ndo maana Yesu alisema wakafundishwe hao kwanza.
Sikuuliza sababu ya makabila mengine kutokuwepo bali nilikuuliza maana ya ile kauli ya "kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel",hii nayo hujanijibu mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…