Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Sina access na jukwaa la dini sasa nmeona nitupie huku kwenye Intelligence.
Kuna some parts hua zinanivunja imani muda mwingine nikisoma kwenye bible which is actually a bad thing, sasa leo hili fungu limenichanganya akili
[h=1]Deuteronomy 22:28-29New International Version (NIV)[/h]28 If a man happens to meet a virgin who is not pledged to be married and rapes her and they are discovered, 29 he shall pay her father fifty shekels[a] of silver. He must marry the young woman, for he has violated her. He can never divorce her as long as he lives
Ni wazi kabisa fungu linasema kua mwanaume akikutwa kambaka binti ambaye ni bikra basi atamlipa baba yake huyo mwanamke vipande vya silver alafu atatakiwa kumuoa na hatotakiwa kumpa talaka maisha yake yote.. Sasa hili fungu linachonichanganya, kwa nini mwanamke wa atu abakwe afu tena biblia itake aoane na huyohuyo aliyembaka, si ni mateso hayo ambayo binti hakujitakia, yani anakua kama analipa kosa ambalo hakulifanya tena for life? This is cruel! em nisaideni niondoe mashaka yangu..
Afu kama huna la maana la kuongea usijibu, i dont wish to see watu wanaanza kusema dini yao ndo ya kweli blah blah blah.. ulizaliwa tu huko usiwe mpiga kelele sana
Hiki kitabu kimeandikwa na watu enzi za ujinga.
Hiyo standard unayoitumia no ya dunia ya leo iliyoelimika zaidi kuhusu mahusiano ya kijinsia.
Obviously utashindwa kuelewa rationale ya biblua, ambayo ni keamba, mwanamke kupewa nafasi ya kuolewa ni kitu muhimu kuliko amani ya mwanamke kukaa katika ndoa na mtu anayempenda.
The bible is a very chauvinistic book, why, wven god is a man!
So why should women have any rights in such a book?
Just goes to show how very human the bible is.
