Ma-expert wa bible msaada kidogo kunifafanulia hili

Ma-expert wa bible msaada kidogo kunifafanulia hili

Hivi Jesus ana Mungu wake? Mungu wa Jesus ni yupi?

God wa Abraham ni yupi?

Mkuu vipi? Inawezekena "mungu" awe na Mungu?

Unazidi kulikoroga, Mchungaji.

MUHAMMAD SIO MTUME KWASABABU HAKUWAI ONGEA NA MUNGU

Leo ningependa tujikumbushe mambo machache ambayo labda hatukuyatilia maanani. Mitume wote na manabii wote wa Biblia waliwai ongea na Mungu. Lakini, Mtume wa Allah "Muhammad" hakuwai ongea na Mungu HATA MARA MOJA. Je, utume wake tutauamini vipi maana hakuwai ongea na aliye mtuma?

Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote
3. Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9

Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia.

Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Mungu, kwanini hakuongea na Mungu?

Umesahau tena ku-highlight and Your father, My God and Your God.

Ulinikataza nisibandue, vipi unakiuka kiwango "standard" ulichokiweka mwenyewe?

Je Yesu anaposema "Mungu wangu na Mungu wenu" anamaanisha nini?
Jesus has two natures young Muhammadan.

Tatizo lenu mnfuata Allah ambaye hakuwa umba na wala hana uwzo wa kuwa na Mwana bila ya kupitia kwa Allat.
 
Nonda, pata burdani hapa kutoka kwa Allah wenu.
[h=3]KUMBE ALLAH ANAYE MSAIDIZI[/h]

UTATA NDANI YA KURAN KUHUSU UTAMBULISHO WA ALLAH!!
KUMBE ALLAH ANAYE MSAIDIZI

Je, Allah anaye Msaidizi, mbona anatumia wingi katika kujieleza?
Hebu rejea kwenye Kuran kwanza:

Suratul Anbiyaa 91. Na mwanamke aliye linda uke wake, na TUKAmpulizia katika roho YETU, na TUKAmfanya yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu
.
Ndugu zanguni, Allah ameanza vituko vyake hapa. Katika Koran Allah anadai kuwa hana msaidizi Suratul Baqarah: aya 106 ― 107 Lakini katika aya tuliyo isoma hapo mwanzoni - Suratul Anbiyaa 91 tumeona kuwa Allah anatumia wingi alipo kuwa akielezea jinsi alivyo mpa ujauzito Maryam.

ALLAH ANAMUUMBA ISA BIN MARYAM KWA KUTIMIA WINGI
Kuran imejaa utata, hebu soma hapa Suratul Attahriim 12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake, na TUKAmpulizia humo kutoka ROHO YETU, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi na Vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa wat'iifu.

HAPA: Allaha anasema kwa undani zaidi TUKAmpulizia ROHO YETU. Hivi huyu Allah ni kweli alikuwa Mungu au ni madai ya Muhammad na rafiki yake Jibril? Mbona alisema kuwa yeye hana msaidizi wala Mwana? Kivipi Allah anatumia wingi katika kumuumba Isa Bin Maryam?

Aya zaidi kuhusu Maryam na kupata ujauzito za Isa: Suratul Anbiyaa 91.

Endelea hapa tena:

ALLAH ANAMUUMBA BINADAMU KWA KUTUMIA WINGI:
Suratul Hijr 26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
HAPA tumesoma kuwa Allah anamuumba Binadamu kwa kutumia wingi" Nukuu: Na TULIMUUMBA MTU"

Endele hapa tena

ALLAH ANAUMBA MAJINI KWA KUTUMIA WINGI:
Suratul Hijr 27. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto.

Allah anaendelea kutumia wingi katika uumbaji. Sasa anasema kuwa "TULIWAUMBA MAJINI" Allah anaendelea kutumia wingi katika uumbaji.

Je, unafikiri kuwa labda Allah alijisahau au fanya makosa pale alipo sema kuwa yeye hama msaidizi.

Wadhalimu wa dini ya Kiislam wamekuwa mstari wa mbele kusema kuwa, eti Wakristu wana miungu mingi na wao wana Mungu Mmoja tu naye ni Allah. Leo tumejifunza kuwa, Allah hayupo peke yake maana sasa anatumia wingi katika kazi zake ikiwa pamoja na ya uumbaji wa Binadamu na Majini.

Nukuu zingine ambazo ALLAH anatumia wingi: S. 3:44, S. 3:145, S. 17:1, S. 6:114, S. 19:40-42, 50-53, 56-74 Arberry, S. 2:252-253 , S. 3:108 Y. Ali; cf. S. 45:6, S. 37:161-166 Pickthall, S. 37:170-182 Y. Ali, S. 23:12-14 Arberry, S. 19:16-2, S. 66:12 Pickthall, S. 15:26-29 Pickthall.

Ndugu zanguni nimeweka ushaidi wa kutosha kutoka Quran yao kuhusu wingi ambao Allah amekuwa anautumia kila mara kwenye Quran yake.

Je, Allah anaye Msaidizi? Je, Allah anaye Mwana ambaye na yeye ana wadhifa wa KiAllah? Kwanini Allah anatumia wingi huku tukifahamu kuwa Allah hafananishwi wala hana msaidizi?

Hakika kuna shaka kubwa kubwa kwenye Quran ya Allah ambayo sasa inasema kwa kutumia wingi.

Biblia inasema kuwa Mungu anaye Mwana na anaitwa Yesu, zaidi ya hapo Biblia inatuambia kuwa kuna Mungu Roho Mtakatifu na hao wote ni WAMOJA katika Roho.

Karibuni kwa Mungu wa Biblia ambaye amesema kiuwazi kuwa yeye ni Baba na ana Mwana ambaye na yeye ni Mungu. Kumbuka hawa ni wamoja kwa kupitia Mungu Roho Mtakatifu.

Katika Huduma yake.

Last edited by a moderator:

Umesahau mengine yaliyomo kwenye Quran mchungaji Max kitimoto

Ngoja nikukumbushe na ID ya Nkwesa Makombo itambue pia.
[Jesus] said, "Indeed, I am the servant of Allah . He has given me the Scripture and made me a prophet. link Surat Maryam [19:30] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

It is not [befitting] for Allah to take a son; exalted is He! When He decrees an affair, He only says to it, "Be," and it is. link Surat Maryam [19:35] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

[Jesus said], "And indeed, Allah is my Lord and your Lord, so worship Him. That is a straight path." link Surat Maryam [19:36] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
'I am ascending to my Father and your Father, to my God and your God.'" John 20:17

Now this is eternal life: that they know you, the only true God, and Jesus Christ, whom you have sent.John 17:30

The Messiah, son of Mary, was not but a messenger; [other] messengers have passed on before him. And his mother was a supporter of truth. They both used to eat food. Look how We make clear to them the signs; then look how they are deluded. Link Surat Al-Ma'idah [5:75] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

And [beware the Day] when Allah will say, "O Jesus, Son of Mary, did you say to the people, 'Take me and my mother as deities besides Allah ?'" He will say, "Exalted are You! It was not for me to say that to which I have no right. If I had said it, You would have known it. You know what is within myself, and I do not know what is within Yourself. Indeed, it is You who is Knower of the unseen. Link Surat Al-Ma'idah [5:116] - The Noble Qur'an - ?????? ??????

Then I will tell them plainly, 'I never knew you. Away from me, you evildoers!' Matthew 7:23

You have been warned: The choice is yours

Salamu zimfikie Nkwesa Makambo aka Ishamel na Mkuu wa Chuo

Issa ni comic name ya huyu ambaye wapumbavu wanafikiri ndiye Yesu. Jina la Yesu shetani analiogopa hivyo hawezi kulitumia kufanikisha mambo yake ndiyo sababu alibuni kikaragosi kiitwacho Issa
Habari ulizozinukuu ni za kikaragosi Issa sio Za Yesu.
MNA mungu wenu Allah tunaye Mungu wetu Yahwh; mnaye mtume wenu Muhammad tunao mitume wetu Paul et al. Mnaye kikaragosi kiitwacho Issa bin mariam tunaye Mwokozi wetu Yesu Kristo...
Shika ulichopewa na shetani Kama unaona ndicho cha thamani tuachie chetu ambacho ni Neema toka kwa Mungu.
 
Kuacha kutoa hukumu (adhabu) ya kupigwa mawe hadi kufa...

Yohana 08 : 01 - 11 inasema .......

1 [Walikwenda kila mtu nyumbani kwake; naye Yesu akaenda mpaka mlima wa Mizeituni.
2 Hata asubuhi kulipokucha akaingia tena hekaluni, na watu wote wakamwendea; naye akaketi, akawa akiwafundisha.
3 Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.
4 Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.
5 Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?
6 Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
7 Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
8 Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.
9 Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.
10 Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?
11 Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, [Ba]Wla mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.[/B]]

Wla mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.

Hii kauli hapo juu ndio inamaanisha kwamba Yesu alibadilisha mambo?
 
Kutoshika Sabato.

Yohana 05 : 01 - 19 inasema......

1 Baada ya hayo palikuwa na sikukuu ya Wayahudi; naye Yesu akakwea kwenda Yerusalemu.
2 Na huko Yerusalemu penye mlango wa kondoo pana birika, iitwayo kwa Kiebrania Bethzatha, nayo ina matao matano.
3 Ndani ya hayo jamii kubwa ya wagonjwa walikuwa wamelala, vipofu, viwete, nao waliopooza, [wakingoja maji yachemke.
4 Kwa maana kuna wakati ambapo malaika hushuka, akaingia katika ile birika, akayatibua maji. Basi yeye aliyeingia wa kwanza baada ya maji kutibuliwa, akapona ugonjwa wote uliokuwa umempata.]
5 Na hapa palikuwa na mtu, ambaye amekuwa hawezi muda wa miaka thelathini na minane.
6 Yesu alipomwona huyu amelala, naye akijua ya kuwa amekuwa hali hiyo siku nyingi, alimwambia, Wataka kuwa mzima?
7 Yule mgonjwa akamjibu, Bwana, mimi sina mtu wa kunitia birikani, maji yanapotibuliwa; ila wakati ninapokuja mimi, mtu mwingine hushuka mbele yangu.
8 Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende.
9 Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda. Nayo ilikuwa ni sabato siku hiyo.
10 Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwambia yule aliyeponywa, Leo ni sabato, wala si halali kwako kujitwika godoro.
11 Akawajibu, Yeye aliyenifanya kuwa mzima ndiye aliyeniambia, Jitwike godoro lako, uende.
12 Basi wakamwuliza, Yule aliyekuambia, Jitwike, uende, ni nani?
13 Lakini yule mtu aliyeponywa hakumjua ni nani; maana Yesu alikuwa amejitenga, kwa sababu palikuwa na watu wengi mahali pale.
14 Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.
15 Yule mtu akaenda zake, akawapasha habari Wayahudi ya kwamba ni Yesu aliyemfanya kuwa mzima.
16 Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya sabato.
17 Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi.
18 Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu. Basi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia,
19 Mwana hawezi kutenda neno mwenyewe ila lile ambalo amwona Baba analitenda; kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo Mwana vile vile.

Majibu ya Yesu hayaondoi katazo la kutokufanya kz siku ya sabato kwasababu yeye ndie mmiliki wa SABATO

Question: "What does it mean that Jesus is the Lord of the Sabbath?"

Answer: The phrase "the Lord of the Sabbath" is found in Matthew 12:8, Mark 2:28, and Luke 6:5. In all three instances Jesus is referring to Himself as the Lord of the Sabbath or, as Mark records it, "The Son of Man is Lord even of the Sabbath" (Mark 2:28). In these verses, Jesus is proclaiming that He is the One who exercises authority even over the rules and regulations that govern the Sabbath day.

cc: Sangarara
 
Last edited by a moderator:
Yaani hizi mada zinazohusu mambo ya dini zikiletwa humu lazima lengo libadilike, yanaanza kujadiliwa mengine kabisa ..
 
Wla mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.

Hii kauli hapo juu ndio inamaanisha kwamba Yesu alibadilisha mambo?

Hakika.
Mwenye kuhukumu na kutoa adhabu kwa watenda dhambi ni Mungu Baba.
 
Majibu ya Yesu hayaondoi katazo la kutokufanya kz siku ya sabato kwasababu yeye ndie mmiliki wa SABATO

Question: "What does it mean that Jesus is the Lord of the Sabbath?"

Answer: The phrase "the Lord of the Sabbath" is found in Matthew 12:8, Mark 2:28, and Luke 6:5. In all three instances Jesus is referring to Himself as the Lord of the Sabbath or, as Mark records it, "The Son of Man is Lord even of the Sabbath" (Mark 2:28). In these verses, Jesus is proclaiming that He is the One who exercises authority even over the rules and regulations that govern the Sabbath day.

cc: Sangarara

Someni vizuri hapo kwenye blue...

Kama majibu ya Yesu hayaondoi katazo hilo, mbona Yesu mwenyewe aliivunja sabato..??
Yesu ndio kielelezo chetu sisi wa-Kristo.

Yohana 05:16 - 19 .....

16 Kwa sababu hiyo Wayahudi wakamwudhi Yesu, kwa kuwa alitenda hayo siku ya sabato.
17 Akawajibu, Baba yangu anatenda kazi hata sasa, nami ninatenda kazi.
18 Basi kwa sababu hiyo Wayahudi walizidi kutaka kumwua, kwa kuwa hakuivunja sabato tu, bali pamoja na hayo alimwita Mungu Baba yake, akijifanya sawa na Mungu. Basi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambia,
19
Mwana hawezi kutenda neno mwenyewe ila lile ambalo amwona Baba analitenda; kwa maana yote ayatendayo yeye, ndiyo ayatendayo Mwana vile vile.
 
me nikupe kwa kifupi mno! watu wengi wanachanganya sana haya mambo ya ki biblia.
Biblia imegawanyika mara mbili. kuna agano la kale ambalo lilihusu waisraeli tu! na kuna agano jipya ambalo linahusu kila mtu katika ulimwengu huu.
labda unambie kuwa wewe ni mu israel na unaishi kabla ya yesu kuleta agano la pili(jipya). Vinginevyo hizi sheria ambazo sisi hatupo tena chini yake ziliwafaa sana waisraeli kwa wakati huo!
si hiyo tu uliyoisema bali zipo nyingi tu ambazo hazifai na hazitekelezeki kwa sasa. Ndio maana Mungu alisema wazi kuwa "siku zinakuja nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Yuda. Si kama lile nililofa na baba zao wakalivunja........." Hivyo ndugu yangu hizo sheria na agano la kale kwa ujumla kwa sasa zisome kama story tu.
Mkuu kama unapotosha watu. Wapi imeandikwa kuwa agano la kale lilikuwa kwa ajili ya waisrael tu? Wapi? Zaka imeongelewa kwenye agano la kale tu, kwa nini sio waisraeli tu wanatoa zaka? Amri za mungu zipo agano la kale kwa nini wasizifuate waisrael tu. Kama wewe dini yako haihusiki na biblia funga mdomo usiseme chochote kupotosha watu. Fuata vitabu vya dini yako na watu wa dini yako kuwaambia hicho unachotaka.
 
Nonda, pata burdani hapa kutoka kwa Allah wenu.
KUMBE ALLAH ANAYE MSAIDIZI

UTATA NDANI YA KURAN KUHUSU UTAMBULISHO WA ALLAH!!
KUMBE ALLAH ANAYE MSAIDIZI

Je, Allah anaye Msaidizi, mbona anatumia wingi katika kujieleza?
Hebu rejea kwenye Kuran kwanza:

Suratul Anbiyaa 91. Na mwanamke aliye linda uke wake, na TUKAmpulizia katika roho YETU, na TUKAmfanya yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu
.
Ndugu zanguni, Allah ameanza vituko vyake hapa. Katika Koran Allah anadai kuwa hana msaidizi Suratul Baqarah: aya 106 ― 107 Lakini katika aya tuliyo isoma hapo mwanzoni - Suratul Anbiyaa 91 tumeona kuwa Allah anatumia wingi alipo kuwa akielezea jinsi alivyo mpa ujauzito Maryam.

ALLAH ANAMUUMBA ISA BIN MARYAM KWA KUTIMIA WINGI
Kuran imejaa utata, hebu soma hapa Suratul Attahriim 12. Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake, na TUKAmpulizia humo kutoka ROHO YETU, na akayasadiki maneno ya Mola wake Mlezi na Vitabu vyake, na alikuwa miongoni mwa wat'iifu.

HAPA: Allaha anasema kwa undani zaidi TUKAmpulizia ROHO YETU. Hivi huyu Allah ni kweli alikuwa Mungu au ni madai ya Muhammad na rafiki yake Jibril? Mbona alisema kuwa yeye hana msaidizi wala Mwana? Kivipi Allah anatumia wingi katika kumuumba Isa Bin Maryam?

Aya zaidi kuhusu Maryam na kupata ujauzito za Isa: Suratul Anbiyaa 91.

Endelea hapa tena:

ALLAH ANAMUUMBA BINADAMU KWA KUTUMIA WINGI:
Suratul Hijr 26. Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
HAPA tumesoma kuwa Allah anamuumba Binadamu kwa kutumia wingi" Nukuu: Na TULIMUUMBA MTU"

Endele hapa tena

ALLAH ANAUMBA MAJINI KWA KUTUMIA WINGI:
Suratul Hijr 27. Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto.

Allah anaendelea kutumia wingi katika uumbaji. Sasa anasema kuwa "TULIWAUMBA MAJINI" Allah anaendelea kutumia wingi katika uumbaji.

Je, unafikiri kuwa labda Allah alijisahau au fanya makosa pale alipo sema kuwa yeye hama msaidizi.

Wadhalimu wa dini ya Kiislam wamekuwa mstari wa mbele kusema kuwa, eti Wakristu wana miungu mingi na wao wana Mungu Mmoja tu naye ni Allah. Leo tumejifunza kuwa, Allah hayupo peke yake maana sasa anatumia wingi katika kazi zake ikiwa pamoja na ya uumbaji wa Binadamu na Majini.

Nukuu zingine ambazo ALLAH anatumia wingi: S. 3:44, S. 3:145, S. 17:1, S. 6:114, S. 19:40-42, 50-53, 56-74 Arberry, S. 2:252-253 , S. 3:108 Y. Ali; cf. S. 45:6, S. 37:161-166 Pickthall, S. 37:170-182 Y. Ali, S. 23:12-14 Arberry, S. 19:16-2, S. 66:12 Pickthall, S. 15:26-29 Pickthall.

Ndugu zanguni nimeweka ushaidi wa kutosha kutoka Quran yao kuhusu wingi ambao Allah amekuwa anautumia kila mara kwenye Quran yake.

Je, Allah anaye Msaidizi? Je, Allah anaye Mwana ambaye na yeye ana wadhifa wa KiAllah? Kwanini Allah anatumia wingi huku tukifahamu kuwa Allah hafananishwi wala hana msaidizi?

Hakika kuna shaka kubwa kubwa kwenye Quran ya Allah ambayo sasa inasema kwa kutumia wingi.

Biblia inasema kuwa Mungu anaye Mwana na anaitwa Yesu, zaidi ya hapo Biblia inatuambia kuwa kuna Mungu Roho Mtakatifu na hao wote ni WAMOJA katika Roho.

Karibuni kwa Mungu wa Biblia ambaye amesema kiuwazi kuwa yeye ni Baba na ana Mwana ambaye na yeye ni Mungu. Kumbuka hawa ni wamoja kwa kupitia Mungu Roho Mtakatifu.

Katika Huduma yake.

More specifically, missionaries point to the plural form of the Hebrew name of God אֶלהִים, (Elohim), which appears frequently in the Torah, to bolster their claim that there is a complex unity in the godhead. They argue that the use of the Hebrew letters " ים" (yud and mem, pronounced "im"), which is a plural suffix at the end of the word Elohim, provides ample evidence from Tanach that there is a plurality within the nature of God. Your business associate went out on an even more bizarre limb when she declared that this Hebrew syntax is somehow indicative of the "plural form of three."

Link Did Someone Find the Doctrine of the Trinity In the Name of God? Why is God’s Name “Elohim” Plural? | Outreach Judaism

Ukasuku umekuzidi Ishmael. Kurudia rudia uwongo haitageuza uongo huo kuwa ukweli.

Pata maarifa ili ufute ujinga hapa: link God Allah - Why Does Quran Say "We / He"?

Link 2. Why does Allah Almighty say We?
 
Kijana naona umekula Omo. Mapovu kibao hapa.
 
mimi naamini kuwa Mungu alikuwa anakutana na Waisrael kulingana na mazingira, tamaduni, nyakati, uwezo wa ufahamu nk. sisi tunaoishi kipindi cha leo tunaweza kushangaa mambo mengi sana yaliyokua yanaendelea wakati huo na unaweza kuhisi na kumshangaa Mungu .. mfano mzuri kwa sisi wakristo tunaamini katika ndoa moja lakini enzi hizo (agano la kale) walikua wanaoa wake wengi hata wafalme maarufu walikuwa na wake wengi ( akina daud, sulemani nk) na Mungu hakuonyesha kujali sana... vitu vingine alikuwa anawaachia tu kwa sababu ya huruma zake

tukirudi kwenye mada naamini kuwa kulingana na tamaduni za Israel na jinsi walivyo watreat wanawake (Wasomi wanasema kizazi hicho walikuwa wanawachukulia wanawake kuwa wanaakili kidogo kuliko ng'ombe) hiyo sheria ilikua ni msaada sana kwao... kwa jinsi unavyomchukulia mwanamke husika unadhani alikua anaamua nani wa kumuoa au kuishi nae? jamii haikumpa nafasi hiyo au uhuru huo... ilikuwa ni kawaida mwanamme akambaka binti bikira alafu labda akalipa fine tu kwa wazazi husika then ikaishia hapo... kumbuka pia kuwa enzi hizo ilikuwa haiwezekani kumuoa mwanamke ambae sio bikira kwa nanma yoyote ile kwa hiyo huyo mwanamke ndo imeishia hapo HAOLEWI TENA MAISHA YAKE YOTE..

suala kuwa wanawake wanakubali/wanachagua/au wanajisikiaje nani amuoe lilikua halipo na sio la kujadiliwa.. baba na ndugu zake wa kiume ndo wanakubaliana na familia ya muoaji kwa maslah yao.. na ukifiwa na mme wako unachukuliwa na ndugu wa mume SI WEWE unayeamua. kwa hiyo hiyo amri ya Mungu kwao ilikuwa inawafavour sana wanawake wa kipindi hicho na waliona wamekombolewa...
, kuna kitu kikubwa sana nimejifunza hapa. safi sana kwa maelezo yako mkuu.
 
Amina. Hata mimi nimepata kitu hapa.

Back
Top Bottom