Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Hivi unaelewa unachojibu lkn? unanidai tena ninukulu andiko mimi wakati mwenzako amedai Yesu alibadilisha vitu na hakuweka nukulu yeyote ya madai yake mazito juu ya Yesu.....vp bwana.....!
Nina maana hicho alichoandika mwenzangu.mbona unashindwa elewa mambo madogo hivi Mkuu wangu ?
Labda Kama u mmoja WA waaminio Yesu alikuwa "kichaa" alipomwambia mwanamke "si vizuri kuchukua chakula cha watoto kuwapa mbwa" au "sijaja ila kwa kondoo walipotea katika nyumba ya Israel" nk nk nk.
Mkuu nikuombe uchukue muda usome hii copy niliyoleta hapa chini huenda kuna kitu unaweza pata
Ndio siwezi kuelewa hayo madai makubwa kabisa ya mwezako bila nukulu yoyote ya maandiko.... unataka kuniambia kua Mungu ni kigeugeu?
Waebrania 7:22 Basi kwa kadiri hii "Yesu" amekuwa mdhamini wa "agano" lililo bora zaidi. Waebrania 8:13 Kwa kule kusema,Agano jipya,amelifanya lile la "Kwanza" kuwa kuukuu.Lakini,kitu kianzacho kuwa kikuukuu na kuchakaa ki karibu na kutoweka.
Sasa katika chapter yote hiyo umeshindwa kuona tofauti kubwa ya mambo ya mwilini na ya kiroho...? Soma tena kwa makini post zangu....then soma hiyo chapter uliyoweka....halafu uone maana yake nn
Tatizo lako nimeliona muda mrefu tu katika michango yako
Yesu alipokuja hapa, hakuwa na assignment ya kutuletea sisi habari njema, sisi habari hizi zilianza kuwa za haki kwetu baada ya Paul kupewa assignment hiyo na Yesu
Japo mpaka sasa Mbwa aliowasema Yesu wapo, hata kati yako na mimi muda huu mmoja wetu ni mbwa.
Kwani unashindwa nini kuweka hapa mifano ya sheria mbili za kimwili na mbili za Kiroho kumaliza utata.
Ndugu sijui nitumie lugha gani ili nikufumbue macho ya uelewa.
Yesu aliwaagiza wanafunzi wakafanye mataifa kuwa wanafunzi wake Ili kupitia agizo hilo mataifa wajumuishwe kuwa wana WA agano kupitia Neema ya bwana Yesu Kristo.
Paulo ni mteuliwa WA baadae ambaye naye alipewa Neema ya kuijua kweli na kuipeleka kwa mataifa.
Sielwei kigumu usichoelewa ni kipi ?
Achana na msimano WA kidhehebu fungua ufahamu uelewe ili upate Neema sawa na wenzako wengi tuliopewa hiyo Neema.
Tatizo lako nimeliona muda mrefu tu katika michango yako
Yesu alipokuja hapa, hakuwa na assignment ya kutuletea sisi habari njema, sisi habari hizi zilianza kuwa za haki kwetu baada ya Paul kupewa assignment hiyo na Yesu
Japo mpaka sasa Mbwa aliowasema Yesu wapo, hata kati yako na mimi muda huu mmoja wetu ni mbwa.
Kama unafikiri kwa kichwa....sidhani kama kuna ugumu kuelewa......lakini kama unafikiri kwa mikono kwenye keyboard basi hata nifafanue vipi mtaendelea kuandika na kuandika.....muda ambao wengine hatuna!
Mfano WA mbwa unajieleza, mbwa alikuwa hapakuliwi chakula psmoja na watoto.
Mbwa alikuwa anapewa kile kilichobakia kwa ajili yake na ndiyo ilikuwa kawaida kwa wafugaji kwamba chakula cha watoto ni cha watoto na chakula cha mbwa ni cha mbwa au lah mbwa apate kilichosazwa na watoto.
Vivyo hivyo kulikuwa na mafundisho WA Wayahudi kwa kuwa wao tayari walikuwa na mafundisho yaliyotangulia
Na mataifa walitayarishiwa chakula Chao kwa wakati wao kupitia wanafunxi WA Yesu na mtume mteule Paulo.
Nini kinachokusumbua ? Mbwa WA Leo yeye anasubiri chakula gani ? Wakati chakula chake kipo tayari ?
Mkuu Yesu alipowapa homework ya kufundisha wanafunzi wake aliwaambia wakawafundishe "kondoo" walio potea, hakuwaambia wakafundishe hata wasio kondoo "Israel tribes"
Yesu Mwenyewe hakuwahi kukanyaga nje ya maeneo ya Israel, Neno la Mungu limeanza kuhubiriwa nje ya Israel na Paul.
Yesu alipowaambia wanafunzi wake wasiwatupie Mbwa rulu alikuwa anamaanisha nini? kumbuka wanafunzi wake walikuwa wanawafundisha waisrael pia sio mataifa.
Hilo andiko la kuwatupia nguruwe Lulu (sio ) mbwa ni fundisho tofauti na hili la chakula cha wana na mbwa.
Usicganganye Mkuu.
Mathayo 28:18-20 inajieleza wazi hata Kama hupendi.
Yesu mfufuka aliwaambia wanafunzi wake kwamba emepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
Kupitia hayo mamlaka aliyopewa ndipo akawaagiza wakawafanye watu wote kuwa wanafunzi kwa kuwabatiza kwa jina la...
Sasa hii habari ya yesu kutuma wanafunzi kwa kondoo waliopotea katika nyumba ya Israel unaipataje kupitia andiko hilo hapo juu ?