Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Aisee to me niwe jobless halafu nilale ni big NO...Jamani nyie mguu wa kutoka Mtume kaubariki! Yaani utaipata tu hata kaishu flan... please majobless tusilaleBora kulala,kuna majobless huwa nawashangaa hana inshu lakin anaamka mapema sana anaenda kijiwen anaanza kucheza draft sasa hapo Ni kama kuutangazia ulimwengu mzima kuwa huna job