Ma-jobless thread

Ma-jobless thread

Unambiwa ni kuamuka saa 12 na kuanza ku-tune wasafi fm na kuwasikikiza wakina maulid kitenge,then wanakuja wachambuzi wa mchongo wakina sports arena kikiisha kipind chao saa 5 hiyo wakija mashamsham na-switch clounds namalizia leo tena kipindi cha kina mwijaku mpaka saa 7,wakija mabishoo wale XXL nazima redio.

hapo unapigwa usingizi na kuperuzi jf majukwaa ja ajira mpaka saa kumi na moja narudi tena redioni naanza na wasafi fm kipind cha kina baba levo( chawa wa taifa) cha mgahawa sahivi kinaitwa jana na laeo nakipiga kile mpaka saa mbili.Hapo naanza utaratibu wa kujitetea (kupata msosi) theni saa 4 narudi upendo fm kula injili siku imeisha.....life goes on.
Jobless ni sonona sana, unakuwa unatamani muda uyoyome giza liingie, unaweza kutoka unatembea hujui unaenda wapi ila kwa sababu ni barabara imenyooka unaifatisha hadi utakapo choka.

Ni wakati ambao simu inayoingia ni ya Branch wakikukumbusha kulipa deni lao pamoja na sms za songesha na nipigie tafu.

Mungu awe pamoja nasi hustler, jobless.
Tukiwa hai tutasimulia🙏🙏
 
jobless ni sonona sana,unakuwa unatamani muda uyoyome giza liingie,
Unaweza kutoka unatembea hujui unaenda wapi ila kwa sababu ni barabara imenyooka unaifatisha hadi utakapo choka.
Ni wakati ambao simu inayoingia ni ya Branch wakikukumbusha kulipa deni lao pamoja na sms za songesha na nipigie tafu.

Mungu awe pamoja nasi hustler, jobless.
Tukiwa hai tutasimulia[emoji120][emoji120]
Hapo unaomba Mungu usijeee ukaumwa na kuzidiwa tu maana mtafutano wake sio poaaa.

Mungu Fundi sana kwnye swala la afya zetu majobless
 
Back
Top Bottom