Ma-jobless thread

Jobless ni sonona sana, unakuwa unatamani muda uyoyome giza liingie, unaweza kutoka unatembea hujui unaenda wapi ila kwa sababu ni barabara imenyooka unaifatisha hadi utakapo choka.

Ni wakati ambao simu inayoingia ni ya Branch wakikukumbusha kulipa deni lao pamoja na sms za songesha na nipigie tafu.

Mungu awe pamoja nasi hustler, jobless.
Tukiwa hai tutasimulia🙏🙏
 
Hapo unaomba Mungu usijeee ukaumwa na kuzidiwa tu maana mtafutano wake sio poaaa.

Mungu Fundi sana kwnye swala la afya zetu majobless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…