Ma-jobless thread

Kuna maisha unapitia Unawez hisi Tanzania nzima ni wewe tu ndio unaisha hivyo kumbe kiuhalisia ni wengi wanapitia hiyo hali. Ngoja tuendelee kupambana
Back in days kipind nipo secondary nilikuwa nikisoma kwnye civics zile aina za umaskini sijui absolute poverty na relative poverty kama sijakosea nilikuwa najua utani ila sahvi ndo nazieleewa vizuri sana.
 
Back in days kipind nipo secondary nilikuwa nikisoma kwnye civics zile aina za umaskini sijui absolute poverty na relative poverty kama sijakosea nilikuwa najua utani ila sahvi ndo nazieleewa vizuri sana.
Iko hivyo ndio maana utakuta unapiga mishe ambayo haukuwahi kuwaza kufanya ili maisha yaende. Maisha huku mitaani yametufundisha vitu vingi
 
Likizo ndo hii...mienipe tu deal nifanye hii likizo
Deal ipo mwalimu. Although we're Very poor lakini tutabusiana.. ooh sorry, tutabustiana hivyohivyo.

Najua huwezi kulikataa maana wengi tu wa NALIA NGWENA kwa ugumu wa maisha saa hizi.

tutakutumia kama sanamu wa kuuzia vyupi.. na ulivyo Figured tutapiga mpunga sana hii likizo🥰🥰🥰😋
 
Umenikumbusha mbali sana kipindi nimetoka chuo sina kazi nipo mtaani sina hata mbuni mfukoni nasikiliza clouds kuanzia power break fast naitwa kunywa chai ya mama, then narud room kusilizia leo tena, kinaiingia xxl katikati ya kipind nashtuliwa kula mchana then narud room kusiliza jahazi ikiisha jahaz naingia kitaa kuchek wana kubadilishana mawazo, yani hiyo ni daily routine dah lile life sio poa.
 
Umenikumbusha na hiko kipind cha jahazi cha kina george bantu na mussa hussein nacho nakisikilizaga mussa hussein anaijua sana kazi yake sana yule mwamba anajitahidi.
 
Miguu itaniuma kweli....kutoka asubuhi mpaka jioni nimesimama tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…