Ma-jobless thread

Umetisha Sana mkuu😂
 
Wanafunzi wake wana habari kuwa madam wao mnampango wa kumfanya sanam/mdori wa nguo dukani?[emoji16][emoji23]
 
Nilifanya kazi ya saidia fundi tukawa tunachimba pemben ya ukuta(ulikuwa mfupi ila mfupi kwa juu kulikua na waya kama wa senyenge umesapoti inchi6 tofali) tulikua tunachimmba mtaro wakupitisha bomba.. ilikua kipind cha masika kwahyo mkichimba leo usku mvua ikinyesha kaz kama inaanza tena kesho yak.. stori iwe fupi tunakaribia kumaliza kaz hapo tushachimba mpaka usawa wa kifua tulikua kama wa tatu hvi mi nilikua mwishon kuelekea upand ambao tunachmba ghafla nikamskia mmoja yupo nyuma yang anapiga kelele ukuta una dondoka sikutaka kujua kama ni masihara nikaacha sululu nikatoka fasta mule ndan yaan zilikua rehema za God tu kuchomoka mule ila ndo ilikua ni safar ya mbngn au ulemav wa milele jinsi zile tofali zilivyojaa kwnye mtaro na kulikuwa na sink la mabomba kama kumi na zaid limejengew kweny huo ukuta nikaapa sirudi tena... lakn kesho yak asubh kuamka nikasema dharau za mtaan na huu ujobless bora nirudi tuu kwenye Ngungwa.. Tulitoa kifusi cha tofali kuanzia saa mbil mpaka saa 12 jion na tulikua wa2 saba.. Halaf ukirud mtaan unawaskia wanges wanajadili wanapenda kuchagua kazi hawa,,,

sema UJOBLESS k*m*ny**o
 
Haya Ndugu zangu! Kumekucha! Muomba Mungu hachoki! Siku nyingine mapambano yanaendelea familia ziko mabegani zinatudai, Dua zetu ni kwa aliye juu.
DM's,PM's zetu ziko wazi kwa aliye na mchongo, kazi kibarua hata ideas tunapokea.
Msiache tusubiri jua lizame ili turudi kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…