Ma-jobless thread

Kwa kipindi cha nyuma sikua interested sana na mpira lakini kutokana na ujobless, Asee nimejikuta mpira simba na yanga naifatilia hadi kwenye group la familia nachangia tena mstari wa mbele hadi wakati mwingine nawaza usikute ndugu wanasema huyu kijana kazi yake kufatilia mipira tu nakua naoga mwenyewe UJOBLESS NI HATARI JAMANI🙌🏻
 
Ila saidia fundi nyie... Uone vile vile daah.. yaan tofali lipo karibu tuu ila jamaa anakuambia leta
Alafu fundi anakuona lofa hamna unachojua. Kuna mmoja alitega Fox vibaya kama msaidizi wake nikamsanua, niliambulia dhalau nyingi na kejeli. Bwanaa wee si akapanda akaanza kujenga ghafla Ile Fox ikavyatuka akashikilia ule ukuta aliokua anaujenga na wenyewe ukawa unaanguka ikabidi aluke juu ya bati la choo ndio ilikua pona yake. Siwezi msahau fundi chaitupu 😂😂
 
Sheenzi sana wale.. wanajiona wamemaliza wakati kun watu wanafanya saidia just kujitafuta tuu..
Wana zarau plas kazi nayofanya mimi saidia fundi kubwa sana aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…