Ma-jobless thread

Ma-jobless thread

Ndugu zangu ambao ni majob-less habari na amani iwe juu yenu!

Karibuni katika ukurasa wetu tupige story na kupeana moyo kwa kipindi hiki kigumu tunachopitia.. Vilevile kama kuna michongo, ideas, na njia tupeane ili tuweze kutoka katika hii hali.

Nawasilisha.
Mchongo ni forex trading unaweza komaa miaka 3,5 adi 7 lakini ukitoboa unatengeza Pesa ata ungekaa kwenye kazi miaka 10 uwezi tengeneza
Apa ni knowledge, skill consistenc na patience unatoboa ila utahastle asikwambie mtu ila ukitoboa ni umetoboa
 
Mungu atakufanyia wepesi kipenzi
Aisee Ina pain sana , ila sitakata tamaa.... Inafika mahali saa nane usiku upo umejifunika na shuka machozi yanatoka tu ukiwaza ,home Hali ngumu , na kinachoniuma ni jinsi bi mkubwa wangu anavyosononeka nafsini first born wake Hana kazi ya kueleweka despite na juhudi zote kwangu kielimu[emoji36]
 
Pole sana Victor kikubwa usikate tamaa ipo siku Mungu ataonyesha njia
 
Back
Top Bottom