Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Ma-TO walipofunikwa na Sylivester Mwageni (True mathematician)

Nilishawah kukutana na T.O LUSEKERO KIBONA ikaandikwa historia ya ma T.Os wawili kukutana pamoja yaan Tanzania (o)ne +Tanzania Zero(0) = T.Os.
Mi nime reseat kuanzia chekechea mpaka chuo. Nikipata C nafunga mtaa, lakin bado HELSB wakajichanganya wakanitemea mzigo wote huku nakaa nyumbn, na soon watanipa ajira ila wakinikazia na mimi nawakazia kwenye pesa zao na bahat nzuri zipo kwenye mzunguko
 
20258487_1249644201813167_2991971811055225012_n.jpg

Inasemekana jamaa ameweka record ya PHYSICS ikavunjwa na MUHAGACHI
 
kuna mtu anaitwa elias kihombo, ni to wa form six,skumbuki mwaka gan ila naskia kuna maajabu kayafanya mpk sasa naskia bado,wakati nipo advance 2015 alikuja school kwetu, alikua anatunga kitabu chake cha physics, na alikua anapiga petroleum udsm, ana mikasa huyu jamaa c mchezo.
Deadbody kama una story yake mkuu ishushe, maana naskia alikua anawadharau hadi maprofesa wanaomfundisha, kwamba hawajui physics.
Tatizo ubishoo na utoz mwingi ndo maana Ali disco telecom akaja kuingia kwenye petroleum ila vitu kichwani anavyo kiukweli
 
Nilishawah kukutana na T.O LUSEKERO KIBONA ikaandikwa historia ya ma T.Os wawili kukutana pamoja yaan Tanzania (o)ne +Tanzania Zero(0) = T.Os.
Mi nime reseat kuanzia chekechea mpaka chuo. Nikipata C nafunga mtaa, lakin bado HELSB wakajichanganya wakanitemea mzigo wote huku nakaa nyumbn, na soon watanipa ajira ila wakinikazia na mimi nawakazia kwenye pesa zao na bahat nzuri zipo kwenye mzunguko
Lusekelo Kibona alifeli darasa la saba akaenda META akapiga 1.7 akaenda MZUMBE akapiga 1.3 akarudi kwao MBEYA kule FOREST karibu na MAHAKAMA KUU akaanzisha TUITION akaiita MAKUBI...Wadau wa MBEYA wanapajua MAKUBI,,,,ukitokea mahakama kuu MBEYA unakuwa kama unashuka ule mteremko na kwa mbele kidogo kushoto utapaona MAKUBI..

Makubi kuna mafundi selemala saivi ila wapo watu wanapiga PINDI huko
 
huyu jamaa
alikuwa TO darasa la saba...
TO kidato cha nne...
TO kidato cha sita...
Mtihani wa matriculation UDSM na vilaza wengine tukiudhuria aliongoza...
Mwaka wa mwisho akimaliza shahada ya kwanza Aliongoza chuo kizima.
ni kijana mdogo mwenye PHD.
pamoja na yote huyu mdau ni mnyenyekevu wala hana mbwembwe.
Picha: Mtanzania mwenye umri mdogo ahitimu PhD ya Uchumi nchini Sweden
Martin Chegere ni mmoja wa hazina ya vijana Tanzania

Correction

Martin ama Matogori kama alivyokuwa akiitwa shule ya msingi hakuwa TO darasa la saba kwa mwaka wao. TO darasa la saba mwaka ambao yeye alifanya mtihani alikuwa anaitwa Baraka William, akawa admited Ilboru kwa masomo ya O'Level

Martin alikuwa T.O O'level na A'level
 
Back
Top Bottom