Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Hahaha we jamaa ni very good story teller, hongereni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salute kwake,namjua sana huyu jamaa...Alipokuwa analipoti pugu kila likizo zinapoisha lazima afikie nyumbani Gomz anampitia bro waliokuwa wanasoma nae PUGU wanasepa shule,badae nikasikia jamaa kawa BEST STUDENT.
Naandaa data za T.O 1993 Mzumbe anaitwa LUSEKELO...Nikipata naiman mzigo utakuwa HEWANI JF
Na ndivyo alivomanisha mwenzako hapo lands were kama unamaanisha o level2007 alimaliza advanc co o lev
Jamaa kanifundishwa tuition pale pacha learning center dadeq alikuwa ni nyoko
Hahahahaha jamaa wa MBEYA ambaye alifeli DARASA la 7Ha ha ha ha ha huyu jamaaa namfaham in details alikuwa mwalimu wangu Ruaha catholic university,jamaa akiingiia class kwanza kabla ya kufundisha anaonyesha vyeti vyake kwenye projector kuanzia 4M4 mpaka master,hakuna B ni B+ na A,akimaliza kuonesha anatuambia kwenye somo langu ukipata C basi jua kuwa una Sup
Kwa sasa ni Dr Martin Chegere,phd holder mdogo kuliko wote tzTO wa muda wote ni Martin Chegere... wengine wote hao chenga tu...
Hahahahaha inawezekana sijatoboa machoni pa wengine ila malengo yangu na vipaumbele vyangu nimetimiza kwa mda nilioukusudiaHao wote wametoboa,umebaki wewe tu kaka yao.
Usikute tunafahamianaMkuu uliposema ' PACHA ' umenikumbusha mbali sana tena kuliko watu wote humu waliowahi nikumbusha mbali .PACHA nilisoma TUTION nikiwa darasa la sita wakati nawsoma " AIRWING PRIMARY" pale Banana,shule ambayo tulikuwa tunasoma na T.O "MUHAGACHI CHACHA".Pacha ni Pembeni ya Reli kuangaliana na "FREETIME RESORT" .
Kitambo sana !
Angeendelea na jina lake la shule ya msingi mtongori ingependeza zaidi. Kipindi hicho tuko shule ya msingi tunafanya mitihani kila jumamosi vingunguti mtongori alikua noma . Jamaa ni geniusKwa sasa ni Dr Martin Chegere,phd holder mdogo kuliko wote tz
Dick bila shaka wewe nakujua,si umesoma KIPAWA?Angeendelea na jina lake la shule ya msingi mtongori ingependeza zaidi. Kipindi hicho tuko shule ya msingi tunafanya mitihani kila jumamosi vingunguti mtongori alikua noma . Jamaa ni genius